Usiogope kupima ukimwi...

unaenda kupima unapewa majibu then unaambiwa ohoo sory! Tulikosea tumegundua hauna virus.. Utawaamini kweli.


Sio suala la kutowaamini tu. Peleka kesi mahakamani kudai fidia.
Ila kifupi kama majibu ni pos. kwa kipimo cha kwanza kuna kipimo cha pili hufanywa kuhakiki kikisema pos.hiyo haina mjadala. Kikisema neg. kinafanyika cha 3 hicho huitwa 'cut tie' (a.k.a yake). Cut tie ikisema pos wewe ni pos ,ikisema neg uko neg .
So mkuu ukiambiwa positive ujue ni pos ya ukweli labda jamaa kama wameamua kukulipua bila kupitia stage zote hizo.
NB: Kipimo cha pili (determine) na cha 3 (unigold) havijawahi kuripotiwa kuwa fake.
Na kama majibu ni neg huishia kipimo cha kwanza tu. Hivyo ni rahisi kupewa fake neg kuliko fake positive.
 
Back
Top Bottom