Usiogope kufa, kufa ni kupumzika na kula raha hakuna utafutaji huko

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,487
2,349
Hakika nimeona nitoe ushauri huu kwa wale wote MNAOOGOPA KUFA.Mtu akifa huonekana kama kaadhibiwa lakini ukweli ni kuwa Mtu akifa anaenda Sehemu nzuri na salama kuliko ALIPOKUWA.

Kuthibitisha hilo ni Wale wote waliokufa hakuna hata Mmoja aliyewahi kurudi tena ni wazi huko aliko ni kuzuri ndio maana yupo huko huko.

Pili UKIFA ndio maana watu Wanasema KAPUMZIKE. Neno hili ni kubwa sana kwani inaonyesha huko uendapo baada ya kufa ni sehemu nzuri ya kupumzika na kula RAHA na STAREHE. Pia neno kupumzika inaonyesha kabla ya Kufa ulikuwa UNATESEKA sana hivyo bora KUFA ili Upumzike na haya MATESO.

Pia kuthibitisha kuwa kufa ni kwenda kupumzika inaonyesha huko hakuna Kutafuta Mali Utajiri Urais Ubunge Upolisi Kulima kuendesha Daladala Bodaboda Bajaji huko ni KUPUMZIKA na kula
RAHA.

Je umewahi kujiuliza kwanini Waliokufa hawarudi kuja kuona Familia Wazazi Watoto Wapenzi Mali zao Majumba yao Mameli Magari n.k? Ukweli ni kwamba kwa RAHA zilizopo Huko Waliko hawatamani tena hivyo vitu kule kuna VITU zaidi ya Hivyo ambavyo huangaiki kuvitafuta au kuviendesha au kujenga Maghorofa kule ni KUPUMZIKA na Kula RAHA.

Ushauri
Usiogope KUFA wewe KUFA ukapumzike na kula RAHA ya huko Ondoka hapa Nenda huko WASIKORUDI.
 
K

Kwa nini uogope kitu cha lazima?
 
Kula raha kupo ila kunawahusu wale waliofanya matendo mema huku Duniani

1. Huwezi kuwa Mchawi unatesa watu halafu useme unaenda kula raha
2. Huwezi kuwa mwizi au niseme unajilimbikizia mali za masikini halafu useme utaenda kula raha
3. Wanao punja kwenye mizani kwa maksudi wajue hali sio shwari huko
4. Wanasheria wanao nyima watu haki zao, wajue watakiona cha mtema kuni
5. Kama umeshiriki kuua nafsi isiyo na hatia kwa faida zako binafsi, jua tu una la kujibu huko
6. Nk nk nk

Hata hivyo, Mungu hajaona umuhimu wa kuwarudisha waliokufa kwani wange wachanganya watu wema.
Mfano; Mtu anaweza kuwa "role model" au niseme wa mfano kwa mbele ya macho ya watu, kumbe nyuma ya pazia ni shetani kwa matendo yake machafu.

Ambacho ungetakiwa kushauri ni kuwa;
Tuna muda wa kutubu na kubadilika; na maanisha kutubu na kuacha matendo ya kuwaumiza watu wengine. Mungu yupo tayari muda wote kuwasamehe wale wanao tubu na kuacha kabisa matendo yao machafu au niseme matendo ya kuwaumiza watu wengine.
 
Umejuaje kuwa ukifanya maovu duniani huko uendako hutakula Raha
Unajuaje kama Mungu anakusamehe makosa yako hapa hapa ulipo kabla hujaenda kule kula Raha?ndugu usiogope KUFA KUFA ukale RAHA hakuna kuteseka na Maisha ya Utafutaji kule ni kula raha
 
Kifo kifoo ila mwili ni kasha tu hili roho ikishaondoka halina issue naamin roho itaenda kuvalishwa jumba jingine pengine bora kuliko hili watu hawajui roho inaishi miaka mingi probably forever ila makasha yake ndo yakitoboa sana 120 sijui hayo mengine, pia kuna namna watu hurudi duniani upya
 
Umejuaje kuwa ukifanya maovu duniani huko uendako hutakula Raha
Unajuaje kama Mungu anakusamehe makosa yako hapa hapa ulipo kabla hujaenda kule kula Raha?ndugu usiogope KUFA KUFA ukale RAHA hakuna kuteseka na Maisha ya Utafutaji kule ni kula raha
Kama una akili na maarifa unaweza kutambua kuwa;
Huwezi kufanya maovu kwa binadamu wenzako kwa sababu zako binafsi eti iishie tu hapo; Lazima kutakuwa na pahala ambapo wale walionyanyasika au waliokosa haki zao hapa Duniani watazipata "What goes around comes around"
Ni suala la muda tu!
 
Kinachotisha ni ule mchakato wa kufikia kufa
Kama una akili na maarifa unaweza kutambua kuwa;
Huwezi kufanya maovu kwa binadamu wenzako kwa sababu zako binafsi eti iishie tu hapo; Lazima kutakuwa na pahala ambapo wale walionyanyasika au waliokosa haki zao hapa Duniani watazipata "What goes around comes around"
Ni suala la muda tu!
 
Kinachotisha ni mchakato wa kukifikia kifo.

Ingekuwa kufa ni ghafla tu bila kupitia mateso ya magonjwa mabaya - mbona ingekuwa poa tu!
 
MUHUBIRI 9:9-10
9 furahia maisha pamoja na mke wako umpendaye muda wote wa maisha yako ya bure ambayo Mungu amekujalia hapa duniani; maana hilo ndilo ulilopangiwa maishani, katika kazi zako hapa duniani. 10 kila anachotaka kufanya kifanye kwa nguvu zako zote, maana, hakuna kazi, wala wazo, wala maarifa, wala hekima huko kuzimu unakokwenda

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom