Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,618
- 33,475
- Thread starter
- #61
Ungeushirikisha ubongo wako kidogo ungejua hilo swali sio la kuuliza.na km unayabeba ya humu ndani bila kufanya uchunguzi mwenyewe, then I can not help you sir!Bado hujajibu maswali we mleta mada. Uume mfupi unahusikaje na uwezo wa kumimbisha? Na uume mfupi(kibamia) ni kuanzia inch/cm ngapi?
Kuna wanaume wana uume mfupi, kulingana na aina ya wanawake wanaokutana nao(wao wana kina kirefu cha uke), and vice versa is true. Sasa ukisema tu "uume mfupi" wakati umeleta chapisho unaloita la kitaalamu, unaishusha taaluma kwa asilimia kubwa sana.
Bye sipendi ligi