Usioe mwanamke mwenye hizi tabia

Mwenye simu kali, labda awe anafanya kazi rasmi ambayo uki mthaminisha unajiridhisha kuwa anao uwezo wa kuninunulia mwenyewe!
Vinginevyo itakuwa kahongwa na watalaka zake ambao Siku yoyote wakikutana wataweza kukumbushana!
 
Mwanamke ambaye yeye ndiye anaeanza kumuomba mwanaume namba ya simu na kuanza kukupigia mara kwa mara mkimbie kama ukoma
 
Mkorogo ndio adui yangu namba moja halafu yale makope ya kubandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…