Usioe mwanamke mwenye hizi tabia

huyo asiye na hizo katazo zako,hayupo boss labda umpande wa kwako
 
Nimecheka sana nadhani ulifanya research ya kutosha sana.
 
Mmmh. Kwa dunia ilivyo sasa hao ndio wengi sa sijui itakuwaje.
 
Kama Malaya kabisa anayejulikana anaolewa isitoshe wenye Tania hizo
 
ukiona mwanamke kavaa kijani usioe jua mda wowote atakuacha.
 
Kazi ya kutafuta malaika haimwachi mtu salama.
 
Wasichana wengi wako hivi!! Cha kufanya ni kukamata mmoja na kumbadilisha kwa lazima hata kama hapendi!!
 
Ukiona msichana hakuombi ombi pesa usioe
Ukiona msichana anatanua miguu mpaka mwisho wakati wa kumgegeda usioe.
Ukiona msichana anatumia jamii forum USIOE

Hahahahaha [emoji23][emoji23]
 
Mwanamke Mwenye kupenda kuvaa mawigi na kujikandika meckups usioe!
Atashindwa ku kuvumilia ukikosa hela ya kumpa kununua hayo makitu ataingia tamaa ya kutafuta mabwana wengine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…