Miss Cherry
Member
- Oct 2, 2020
- 36
- 249
Vipi mtungi wa gesi hautaisha, au umeshapata ma kuajujazia ?
Siku wanawake mkiacha kuvaa pedi ndio mtajua mnaweza kujilinganisha na wanaume "tusiojitambua".
Hata kama hatujitambui vipi ila hatuvai pedi na ndio tunaweza kuchagua ndo maana tumewaoa wengine wewe na vibibi wengine tumewaacha.
Kuwa na heshima hata kidogo kwa maana kuvaa pads kulichangia pia ww kuletwa duniani. Punguza mihemko na jifunze kuheshimu wanawake.