Usioe mwanamke aliyepitia maisha ya kuishi mwenyewe

Za kwangu ndiyo hizo za kushuhudia, kadhalika najua Mwanamke anataka nini,yaani Mwanamke yeyote timamu namaanisha.
Wewe hutakaa utujue viupambele vyetu vinabadilika kulingana na mda na hisia
 
Wote niliowataja hamna hata mmoja anaweza kuwa huyu mtoa mada kwa Id nyingine.
Nakupa sababu moja tu iliyo wazi.

Hao wote wanajua kingereza, umeona kingereza cha mtoa mada huko nyuma kilivyochangamka? Unataka uniambie kinaweza kuwa cha hao niliowataja?
Point ni kuwa, kuna watu Wana ID za kuwabembeleza wanawake, na mtu huyo huyo ana ID ya kuwapondea Kwa kila anachotaka.
 
We utapenda mwanao akaishi ghetto!?
Ataishi tu sasa yuko mbali huko anafanya kaxi aishi wapi, na kuishi na mtoto haimaanishi hatafanya madhambi as long as nitamlea kwa njia ya kujiamini hawezi kutingisha, mbona naishi mwenyewe na misimamo yangu iko thabiti hafu namwacha binti yangu a enjoy life sio kujifanya mwema eti awe wife material never
 
Ataishi tu sasa yuko mbali huko anafanya kaxi aishi wapi, na kuishi na mtoto haimaanishi hatafanya madhambi as long as nitamlea kwa njia ya kujiamini hawezi kutingisha, mbona naishi mwenyewe na misimamo yangu iko thabiti hafu namwacha binti yangu a enjoy life sio kujifanya mwema eti awe wife material never
Akiwa mbali -mkoa mwingine, sio mbaya, mbaya mko mji mmoja, ila yeye anaenda kutafuta uhuru, kwa kuamua kusihi mwenyewe.
 
Wewe hutakaa utujue viupambele vyetu vinabadilika kulingana na mda na hisia
Sasa unabisha mpaka kwenye hili ? Mimi nazungumzia elimu weww unaleta hisia na utoto.

Vipaumbele ni mambo ya ziada, naongelea mambo ya msingi mambo mama, kwayo kila mwanamke timamu uhitaji. Haya hayabadiliki wala hayaathiriwi na muda wala zama.
 
Bado hujanishawishi mkuu,,alaf usije ukajiaminisha kwamba et single mothers ndo wa kuwaacha kidwanzi like that.

Kumbuka kuwa ndoa inaweza kuwa strong kama heshima,upendo vitakuepo baina yenu.

Acha kutisha watu,,Mimi mwenyewe ni miongon mwa wahanga(kuoa mwanamke aliyekuwa na mtoto), na isitoshe tunaishi maisha ya furaha Zaid ya wale ambao wameoa ambao hawakuwa na watoto.
Varangati si lazima lianze mapema, laweza anza hata baada ya miaka 20 ya ndoa.
Baba mtoto anaanza kuweka ukaribu na ukimkera tu mkeo anaenda kupata faraja kwa baba mtoto.

#YNWA
 
Kweli siwezi nikamuelewa coz najua single mothers ndo wanajua maisha ni Nini tofauti na hao wengne.

Kwhy ukimpenda alaf nae akakupenda,mbona utajiona uko sayari nyingne kabisaa.
Unawezaje kutengeneza bond na mtoto asie wako?

Yaani ukamwita mwanao na sio wako?
Yaani mkatengeneza ukaribu na sio wako?


#YNWA
 
Mimi nachangia tu popote sinywimwi na yoyote mada nyingine huwa mnaazisha Ili kutoa stress sasa msipojibiwa mlivokuwa mwataka napo mwapata shida. So nyie wanaume hamna jema
Jema tunalo ndyomaana tunawaoa
 
kuna manzi alikuwa anaishi geto nikaanza nae mahusiano kiukweli niliona ni mwema sana na anajituma kimaisha!!nyumbani kwao ni watu wa maadili ila wazaz wake wanaishi rombo na ni wastaarabu sana.
huyu dada kiukweli namuelewa sana lakini huwa napenda kujiridhisha ingawa kuna jambo au mambo yalinishtua sana..
kuna siku alinipa sim yake nikamuekee glass protecta ajab kwa ushamba wake akanipa na pasword.
nilivoeka protecta nikawa nasoma mesej zake ingawa zipo za wanaume wanamtongoza wengine wanamhitaji pia tena wamle hizo hazijanishtua sana km kuna mtu amemsave MCHUNGAJI.
mchungaji anaelezwa kila jambo na huyu dada yaani kila kitu hadi siri zake hadi watu anaowadai hawatak kumlipa,
mchungaj amekuwa anamuelekeza hadi mambo ya kishirikina kwamba ampe jina langu na lake.
pia achkue kitambaa afutie manii zangu tukishafanya kisha atampa maelekezo!
mwanzon huyu dada tulikuwa tunaishi tuu km kupoozana ila sasahivi nashangaa ameniingia kichwani sana na mimba amebeba..
hakai geto kwake sasahivi yaani mda mwingi yupo kwangu amekuwa wa kupika na kupakua..
kiukweli mi naona ananifaa sana ila baadhi ya mambo yananiweka njia panda..haswa huyu mchungaj anamwambia aache kuwa na mabwana wengi abaki na mi mmoja tuuu..
mwnzoni tunaanza uhusiano ilikuwa hata wanaume wanampigia anapokea mbele yng hata mi nikipigiwa na madem napokea tuu.
ila sasahivi hafanyi hivyo.
naomba na mi ushauri
Endelea kumuomba Mungu akufunulie ukweli kaka. Please sali sanaa huwezi jua huyo binti na mchungaji wameshafanyia nin manii zako au mambo mengine ya giza huko.
 
Back
Top Bottom