Usioe mwanamke aliyepitia maisha ya kuishi mwenyewe

kuna manzi alikuwa anaishi geto nikaanza nae mahusiano kiukweli niliona ni mwema sana na anajituma kimaisha!!nyumbani kwao ni watu wa maadili ila wazaz wake wanaishi rombo na ni wastaarabu sana.
huyu dada kiukweli namuelewa sana lakini huwa napenda kujiridhisha ingawa kuna jambo au mambo yalinishtua sana..
kuna siku alinipa sim yake nikamuekee glass protecta ajab kwa ushamba wake akanipa na pasword.
nilivoeka protecta nikawa nasoma mesej zake ingawa zipo za wanaume wanamtongoza wengine wanamhitaji pia tena wamle hizo hazijanishtua sana km kuna mtu amemsave MCHUNGAJI.
mchungaji anaelezwa kila jambo na huyu dada yaani kila kitu hadi siri zake hadi watu anaowadai hawatak kumlipa,
mchungaj amekuwa anamuelekeza hadi mambo ya kishirikina kwamba ampe jina langu na lake.
pia achkue kitambaa afutie manii zangu tukishafanya kisha atampa maelekezo!
mwanzon huyu dada tulikuwa tunaishi tuu km kupoozana ila sasahivi nashangaa ameniingia kichwani sana na mimba amebeba..
hakai geto kwake sasahivi yaani mda mwingi yupo kwangu amekuwa wa kupika na kupakua..
kiukweli mi naona ananifaa sana ila baadhi ya mambo yananiweka njia panda..haswa huyu mchungaj anamwambia aache kuwa na mabwana wengi abaki na mi mmoja tuuu..
mwnzoni tunaanza uhusiano ilikuwa hata wanaume wanampigia anapokea mbele yng hata mi nikipigiwa na madem napokea tuu.
ila sasahivi hafanyi hivyo.
naomba na mi ushauri
Mkuu, huu ni Uzi kabisa, futa hii reply hapa then fungua Uzi wake utasaidiwa vizuri!
 
Hupendi challenge na mwanamke anayejitegemea ni threat kwako, kila mwanaume ana character yake na vigezo vyake anavyoangalia kwa mwanamke, kuna ambao hao unaowaponda ndio wanaowapenda, wewe kama unapenda submissive wife then tafuta oa sio kuponda wengine...
 
Hupendi challenge,na mwanamke anayejitegemea ni threat kwako,kila mwanaume ana character yake na vigezo vyake anavyoangalia kwa mwanamke, kuna ambao hao unaowaponda ndio wanaowapenda, wewe kama unapenda submissive wife then tafuta oa sio kuponda wengine...

Mkuu ni kweli challenge ya kudanga kununuliwa gesi na luku SIPENDI.

Na tuseme ukweli tu hakuna mwanamke wa kumchallenge mwanaume kama mwanamke huyo hajapendelewa. Bila kubebwa wanawake ni dhaifu na wana uwezo mdogo SANA.
 
Back
Top Bottom