Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,400
- 29,339
Niseme nisiseme?
Tega sikio.
Upendo sio kigezo pekee kwenye ndoa, upendo hautakuwepo kati yenu kwa nyakati zote. Mnahitaji sababu zingine muhimu za kuishi kwenye ndoa.
Sababu hizo ni pamoja na umoja na ushirikiano katika kujenga familia yenu.
Ndoa sio sehemu ya starehe wala kupumzika. Ukiingia kwenye ndoa kwa lengo la kupumzika (hapa wanawake wengi hujidanganya) ujue utakuwa mzigo kwa mwenzi wako.
Hata suala la uaminifu kuna muda sio kipaumbele, inabidi kukubali ukweli kuwa sio rahisi kuwa wa pekee yako…. kikubwa heshima na mambo yanaenda.
Ncha Kali…