Usinunue Soundbar bila kusoma hii

Usinunue Soundbar bila kusoma hii

Sony SRS-XB100, hizi ndizo sifa zake kuu:
🔊 Speaker: Full-range, takriban 46 mm, yenye passive radiator kwa kusaidia bass.

📶 Bluetooth 5.3 — ina connection nzuri na simu, TV na vifaa vingine vinavyotumia Bluetooth.

🔋 Battery: hadi takriban saa 16 kwa matumizi ya kawaida.

💧 IP67: inastahimili maji na vumbi, hivyo inafaa hata kwa matumizi ya nje.

📱 Hands-free calling: ina microphone kwa kupokea/kupiga simu.

🔗 Unaweza kuunganisha XB100 mbili ili kupata stereo sound.

⚡ USB-Type C kwa kuchaji.

⚖️ Ni ndogo sana na nyepesi, karibu 274 g, ikiwa na vipimo vya takriban 76 × 95 mm.

🎵 Sony inaeleza kuwa ina Sound Diffusion Processor inayosaidia kutoa hisia ya sauti inayosambaa zaidi.

Muhimu: Hii si soundbar; ni portable Bluetooth speaker.
Je kiongozi kuna kasaundbar kamoja ka samsung SRS xb100 vp nikazur naskia wanakasifia sana na je ntajuaje kama nioriginal.samahani kama ntakua nje ya mada kiongozi
 
Soundbar yoyote ile ya chini ya 500K, usitegemee miujiza labda unajifurahisha kuwa nawe una bar ndani kwako,

Haya madude ya kuanzia 1M, 1.5M or 2M+ ni habari nyingine dah
 
Sound bar ili iwe sound bar kabisa inatakiwa iwe wireless subwoofer yani bar na bass ijitegemee kupitia wire yake
Hapo tunaenda kwenye ubora sasa wa channel kuwa na channel nyingi haifanyi sound bar yako iwe na mziki mnene wauzaji au wachambuaji hili swala hamliweki sawa sound kali na deep bass nivitu viwili tofauti
Unaweza kupata bass kali nene mtetemeko ila usipate sound kali au ukapata sound nzuri ukakosa bass iko ivi👇
Mfano hisense sound bar ya 200w bei yake ni 280k-270k
Ina channel 2.1 ila ina double atomos kwenye bar yake ndani ya bar hiyo ya channel 2 ukiifungua utakuta twita mbili ila utakutana na vispika vidogo vinne ambavyo vikishirikiana na zile twita mbili vitakutengenezea Dolby Atmos yaani utapata surround kali na bass nzuri na utapata dynamic bass
Ila ukija mfano AIWA 450w bei yake ni 250k-240k jumla
Ikiwa yenyewe inakuja na channel 4 kwenye ile bar ina spika nne na haina zaidi ya hizo ambazo kushoto kuna mbili na kulia pia zipo mbili utapata quality ya sauti ila hautapata Dolby Atmos
Bass yake inatoa deep bass sio dynamic bass ni deep bass yani mziki wakushitua mtetemeko mana hata ile spika iliyo ndani ya sabufa inaachwa mbali sana dadeq hata hizo za 600k kuendelea ni kwasababu zina dtx ila kiukweli ukipima mziki mnenee haziingii kwahiyo nakukosoaa unaposema sound bar kali kuanzia M 1, M 1.5, M 2 hapa sound bar yenye HDM ERC na ikiwa wireless hiyo ni sound bar ni sawa sawa uwe na iPhone 17-14 alafu useme kama una A05 hapo hauna simu au sio simu sababu simu zinaanziaa ml1 kuendelea.
 
Kasikilize JBL MK2 yoyote kuania bar 500, au Q series yoyote samsung harafu uje kuandika tena, ndo utajua kuna soundbar system na sub woofer ambazo ni wireless, harafu utakuja useme hisense na AIWA zako
 
Back
Top Bottom