sio kweki acha kuwachafulia wenzio kila siku tunawanunulia PC watu pale ni nzima na wala hazijawai kusumbua na ikitokea kusumbua km ulifata mashart ya wallanty wanakubadilishia mashine au kukurekebishia
mwisho mwenzi mmoja uliopita tumeenda na jamaa kununua PC kwa laki 6 na 40 na inafanya kazi vizuri tu
ebu tuambie wewe kwa kirefu tukusaidie kuliko kuongea maneno mabaya nini hasa kilitokea mpk ung'ake kwa hasira hivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.