Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,683
unaanzaje kumpa majibuWaanze kuwapatia leseni na wafanyao biashara Kama hiyo wasipewe leseni mpaka wapimwe kwanza akili!
haya bhanaBujibuji​, ukiteremka basi kwa vishindo!
hilo panga kulishika hivo ndo nini ana hatarisha usalama wake na wa raia wengine!!!
mi huwa nikienda buchani huwa najiuliza hivi huyu jamaa na makisu yake akifetuka ghafula hapa si ndo mwanzo wa kutundikana kama ng'ombe! sina imanio nao kabisa mimi! hata wao nadhani wapimwe akili first!Waanze kuwapatia leseni na wafanyao biashara Kama hiyo wasipewe leseni mpaka wapimwe kwanza akili!