Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
jiulize sasa alafu katika ulimwengu ambao tunaambiwa una kila kitu eti wamarekani wanasatelite ambazo wanajua mpk tunachoofanya tukiwa chumbani kwetu sasa sijui inakuwaje ndege inapotea.lakini hili la ndege itakua ni ajabu la 9 la dunia, ndege inapoteaje jamani?
jaman, hebu give a break to the flight, raia8 mida fulani iliuliza kama ndo ilikuwa yenyewe pale pich ya ndege kibaha
mkuu wewe hili swala la ndege kupotea halikushangazi kwenye dunia ya sasa ya teknolojia,mtu anaweza kujua message zako za kwenye simu hata akama hajashika simu yako,sembuse kupotea kwa ndege!! we are just trying to be curious in other way.Acheni mizaha wakuu na hii issue!
Maisha ya binadamu wenzetu 239 yako shakani, tuwaombee wawe salama badala ya kuwatumia kuleta mizaha!