Usingiziii waingia ofisini kwa dr bilali ................ Jamani jamani

VIKWAZO

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,900
581
bilali picha.jpg
Makamu wa raisi alipokuwa kwenye moja ya ziara nje ya nchi, watu wanauchapa tu mtanzania utajijua
hizi ni shibe za viporo au ugongwa kwa hawa watenda kazi wetu
 
jamaa hajalala, labda kama unataka kulazimisha ila ki ukwelki ni kwamba ni kama anaisoma hiyo karatasi hapo mezani na ukiwa umeangalia karatasi ikiwa chini kama alivyo fanya huyo jamaa ukipigwa picha macho yataonekana kama yamefunga kwasababu hujamkodolea macho mpiga picha, acheni kuzusha mambo kishabiki sehemu watu wanapoteleza basi tuwakosowe ila si kukosoa hadi kisicho kosoleka
 
Mh Balozi hakulala anaandika au anasoma kwenye karatasi, mlinzi wa Makamo anaonekana anavuta mawazo kidogo kwani hawa wawili ni wapemba Mh Balozi na Mh Makamo wa Raisi na wapo ndani ya ubalozi wacha avute mawazo kidogo
 
Umenikumbusha wakati nipo SUA.

Kuna mshikaji alikuwa bingwa wa kusinzia darasani, iwe asubuhi mchana au jioni.
Ukiamuamsha, anakwambia hajalala, ila anameza heavy concept.
 
Unapoona hayo usikurupuke, nenda kwanza kwa mkuu wao ndo utajua mambo
 
jamaa hajalala, labda kama unataka kulazimisha ila ki ukwelki ni kwamba ni kama anaisoma hiyo karatasi hapo mezani na ukiwa umeangalia karatasi ikiwa chini kama alivyo fanya huyo jamaa ukipigwa picha macho yataonekana kama yamefunga kwasababu hujamkodolea macho mpiga picha, acheni kuzusha mambo kishabiki sehemu watu wanapoteleza basi tuwakosowe ila si kukosoa hadi kisicho kosoleka
vipi yule kule nyuma?
 
wewe utakuwa unaubishi wa kuchanjiwa. huyo jamaa hapo nyuma amelala au unataka kujifanya kwamba
unaangalia kila kitu positively. hata wewe unaweza ukawa unakaugonjwa ka tsetse flies ndio maana hauoni
vizuri.
 
hata anayeongea kachoka kweli kweli anaongea tu kwa kuwa imemlazimu kuongea.
 
Aliyelala ni mlinzi a.k.a. bodyguard, tena anatoka TISS. Pengine alikuwa bored na speech ya anayemlinda!
 
Back
Top Bottom