Usingiziii waingia ofisini kwa dr bilali ................ Jamani jamani

Usingiziii waingia ofisini kwa dr bilali ................ Jamani jamani

jamaa hajalala, labda kama unataka kulazimisha ila ki ukwelki ni kwamba ni kama anaisoma hiyo karatasi hapo mezani na ukiwa umeangalia karatasi ikiwa chini kama alivyo fanya huyo jamaa ukipigwa picha macho yataonekana kama yamefunga kwasababu hujamkodolea macho mpiga picha, acheni kuzusha mambo kishabiki sehemu watu wanapoteleza basi tuwakosowe ila si kukosoa hadi kisicho kosoleka

Huyo aliyekaa kiti cha nyuma nae anasingiziwa? Hajalala huyo?
 
Back
Top Bottom