No Escape JF-Expert Member Mar 7, 2016 6,663 7,774 Mar 27, 2016 #1 Msaada jamani, hili tatizo huwa linanikumba sana! huwa nalala mapema, lakini nachelewa kupata usingizi nikiupata kama sea hizi umekata haurudi tuna…
Msaada jamani, hili tatizo huwa linanikumba sana! huwa nalala mapema, lakini nachelewa kupata usingizi nikiupata kama sea hizi umekata haurudi tuna…
M Mokoyo JF-Expert Member Mar 2, 2010 15,145 5,565 Mar 27, 2016 #4 Hata hivyo huu ni muda wa kuanza kuelekea Kariakoo. Amka
N Nando JF-Expert Member Oct 5, 2014 4,850 2,057 Mar 27, 2016 #6 Mokoyo said: Hata hivyo huu ni muda wa kuanza kuelekea Kariakoo. Amka Click to expand... kweli mkuu kushakucha.
Mokoyo said: Hata hivyo huu ni muda wa kuanza kuelekea Kariakoo. Amka Click to expand... kweli mkuu kushakucha.
kubwa_Lao JF-Expert Member Dec 12, 2015 934 1,185 Mar 27, 2016 #7 tatizo unajipa mawazo mengi ambayo huwezi kuyatatua!! mkabidhi mungu hizo hofu zako na kila kitu kitakua poa
tatizo unajipa mawazo mengi ambayo huwezi kuyatatua!! mkabidhi mungu hizo hofu zako na kila kitu kitakua poa