Usingizi mzito wamelala mtu na mpenzi wake mchana kweupe kwa raha zao?

1379488_415868135179483_130806317_n.jpg

dahh! Uswahili noma sana
 
Mimi Tabora mitaa ya National Housing ndipo ilipokulia ingawa kiasili ni wilaya ya Urambo.

Nimefika huko pia...........kwao Mabama.....unakufaham....

Tabora kunanifurahisha ile miti pembeni ya barabara.....

kuna kisa kilinitokea wakati nimeenda huko acha tu....
 
Nimefika huko pia...........kwao Mabama.....unakufaham....

Tabora kunanifurahisha ile miti pembeni ya barabara.....

kuna kisa kilinitokea wakati nimeenda huko acha tu....

Mabama nakufahamu sana tu si mbali toka kijijini alipozaliwa baba yangu ambapo pana jina ninalolitumia hapa JF (Itegamatwi). Ni njiani tu hata Treni ya kwenda Kigoma inapita hapo Mabama.
Ile miembe iliyojipanga njiani we acha tu inahistoria ndefu sana, ilitaka kunitoa uhai na uroho wangu wa maembe utotoni.Niliporomoka nikavunja mkono.

Kisa gani hicho kilikukuta huko kwetu?
 
Back
Top Bottom