Usindikaji wa Samaki kisasa

Usindikaji wa Samaki kisasa

Joined
Oct 27, 2017
Posts
91
Reaction score
94
Tunatoa huduma ya usindikaji samaki kisasa, samaki Hawa husindikwa kwa kutumia machine niliyotenegeza hapahapa Tanzania.

Machine yetu hutumia umeme na gas na samaki huchukua masaa saba kusindikwa. Samaki Hawa huweza kaa siku nyingi pasi haribika Wala kupoteza Radha.

Machine yetu huweza kusindika pia nyanya, vitunguu, kuoka mikate, kusindika mwani, kusindika viazi na mengineyo. Kuna machine ambazo Ni self controlled(automatic) na ambazo Ni manual controlled. Tunatoa huduma ya utengenezaji wa machine hizo pia.

Tunapatikana Geita.
Kwa mahitaji ya samaki hao waweza wasiliana nasi, kwa wakazi wa mbeya samaki hupatikani kila jumamosi na jumatano. Tunasindika zaidi ya kg 150 kwa awamu moja.

Karibuni sana.

Pia waweza leta samaki wako tukakusindikia pia.
IMG_20220518_120300_2.jpg
IMG_20220518_120317_9.jpg

Sanilado Universal Technology
We are the future
 
mkuu ukizungumzia usindikaji kuna njia nyingi. ila hapo naona wamekaushwa. unamaanisha mashine hiyo ni ya kukausha?

je kwa mfano nikiweka nyanya zitatokaje? zitakuwa mfumo wa unga?

onyesha mfano wa mashine moja tuone zinafananaje.
 
Picha tafadhali ya Samaki akiwa amesindikwa
 
mkuu ukizungumzia usindikaji kuna njia nyingi. ila hapo naona wamekaushwa. unamaanisha mashine hiyo ni ya kukausha?

je kwa mfano nikiweka nyanya zitatokaje? zitakuwa mfumo wa unga?

onyesha mfano wa mashine moja tuone zinafananaje
Ndio Ni mfumo wa kukausha ambapo chanzo Cha uzalishaji(burner) na chamber yenye mzigo havina contact, unaweza sindika pia hata nyanya kinachobadilika Ni tray tu. Upande wa nyanya zinakatwa kwatwa then zinawekwa kwa muda wa masaa matatu zinakuwa zimekauka kau, unachukua Brenda unazisaga then unafanya packaging.
Zinaweza kaa hivyo miaka na miaka.
Upande wa automatic machine Ni kwamba Kuna kuwa na control screen una changua unachosindika then machine inaendelea na kazi.
Karibu Sana.
 
Attachments

  • Screenshot_20220703-214020.png
    Screenshot_20220703-214020.png
    304.1 KB · Views: 22
Tunatoa huduma ya usindikaji samaki kisasa, samaki Hawa husindikwa kwa kutumia machine niliyotenegeza hapahapa Tanzania.

Machine yetu hutumia umeme na gas na samaki huchukua masaa saba kusindikwa. Samaki Hawa huweza kaa siku nyingi pasi haribika Wala kupoteza Radha.

Machine yetu huweza kusindika pia nyanya, vitunguu, kuoka mikate, kusindika mwani, kusindika viazi na mengineyo. Kuna machine ambazo Ni self controlled(automatic) na ambazo Ni manual controlled. Tunatoa huduma ya utengenezaji wa machine hizo pia.

Tunapatikana Geita.
Kwa mahitaji ya samaki hao waweza wasiliana nasi, kwa wakazi wa mbeya samaki hupatikani kila jumamosi na jumatano. Tunasindika zaidi ya kg 150 kwa awamu moja.

Karibuni sana.

Pia waweza leta samaki wako tukakusindikia pia.
View attachment 2280180View attachment 2280183
Sanilado Universal Technology
We are the future

Naona sangara wachanga hao
Angalia watu wa Maliasili wasikutembelee utalimwa faini utajuta kuzaliwa
 
Hamna tatizo mkuu wamekidhi vigezo, utaratibu unazingatiwa labda changamoto ije mteja anapoleta ambae hajakidhi vigezo. Hapo itatumika hekima na si sheria.
Naona sangara wachanga hao
Angalia watu wa Maliasili wasikutembelee utalimwa faini utajuta kuzaliwa
 
Back
Top Bottom