Usimwabudu Mpenzi Wako!

Usimwabudu Mpenzi Wako!

Wewe kijana nimesoma na nimekwambia kifungu chako ni irrelevant

Ndio nauliza Mungu amuonee wivu dem wako?

What a rubbish
Na wewe kwa nini kumwabudu dem wako ambaye hajawahi hata kuumba sisimizi?

Ukimwabudu dem wako Mungu ataona wivu na atamwondoa hakika ukosea vyote.
 
Tatizo lako unachanganya "kumpenda" mke wako Mungu hawezi kukuonea wivu tambua hili.

Kumwabudu mpenzi ndio kitu kisicho kubalika mbele za Mungu tambua hili.
 
Back
Top Bottom