Usimwabudu Mpenzi Wako!

Usimwabudu Mpenzi Wako!

Huo ndiyo mtindo wangu wa maisha

Sikujui ila kwa your naïveté sina waswasi nimekuzidi mafanikio ktk mahusiano

Nyie ndio wale mnsjiita Fear Women
Umenizidi parefu mkuu
Kama tupeane koneksheni,miye ni mwalimu wa kiingereza,kama una chimbo nje ya nchi napoweza ongeza kipato kidogo nishtue
 
Una ushahidi au ni hisia zako tu ndugu mtumishi?

Dini haiendeshwi kwa hisia weka kifungu hiko ulikoweka hakiendani kabisa na hoja uliyoiibua
Kifungu cha maandiko nilichoweka kinaeleza vile Mungu alivyo, hapendi watu waabudu kitu kingine ama binadamu mwenzao.

We tafuta maneno matamu ya kumsufia mpenzi wako Ila usitumie neno kama hili "Hakuna kama wewe
 
Alaa kwahiyo Mungu amuonee wivu binaadamu aliyemuumba?

Anuonee wivu demu wako kwakuwa unampenda kuliko yeye?

Asee hizi akili hizi
 
Back
Top Bottom