Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,366
- 161,496
Naona hadi mwandiko umebadili jamani...Mwenzako hii app hadi nili isahau halaf naona imekuwa ngumu kuitumia ila toja jana nlikuwa bawaza nikucheki.
Nilifikia jukwa la nyumbani kwanza nikajua utakuepo kule
Mwenyewe inanisumbua mno, sipati notification wala!!