Usimvue nguo mume wako

Usimvue nguo mume wako

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sakayo siyo msweet kabsa hadi imebid nimfundishe tu!
Najua alinimis ila anajifanya anajikaza
Sikukazii aki, nimeona uzi wa watu page ya kwanza kabisaaa kuanza story sio nzuri....

Niliandika nkafuta , nkaandika nkafutaaa!!!
Ulijua kuniumiza saaaanaaa
 
Kumbe toka jana yupo??? Hivi amekuja bila hata kunipooza jamani??!
Mwenzako hii app hadi nili isahau halaf naona imekuwa ngumu kuitumia ila toka jana nlikuwa nawaza nikucheki.
Nilifikia jukwa la nyumbani kwanza nikajua utakuepo kule
 
Sio kwa wanawake hawa wa siku hizi. Umbea na michambo ndio maisha yao. Kitu kidogo tu amesharopoka.

Ndio maana wengi wao wanaishia kuachika na kuwa ma single mothers. Unakuta mwanamke anaishi na mwanaume bado hata hawajafunga ndoa ila mwanamke bado anazingu kinoma. Badala ya kutuliza kalio chini hata apate ndoa anajishembendua tu bila akili
 
Mwenzako hii app hadi nili isahau halaf naona imekuwa ngumu kuitumia ila toja jana nlikuwa bawaza nikucheki.
Nilifikia jukwa la nyumbani kwanza nikajua utakuepo kule
mueleze bhana nimefurahi kusikia ni jukwaa la home, unajua kule hakuna shida kabisa
no stress wala nini. hata kama kuna ugomvi unaisha in a minute
i like home jukwaa kwa kweli. Sakayo ni member pia ila siku hizi kaadimika kweli
 
Haaa
Mambo ni yale yale tuu, yanaanziaga hapa jf halaf yanaingia kitaa.
Nna mashaka sana na wale wanao letaga ishu zao hapa
si wanatumia id fake? hahahaha ila bado kuna kamtihani ujue
 
Back
Top Bottom