Usimrudie Mwanamke aliye-cheat , Never!

Acha niendelee kuwa mvulana kama uanaume ndo huu
 
Sijui kuhusu wengine ns siwezi kuwasemea ila binafsi yangu jibu ni kwamba nachepuka 😅
Kiukweli tunachepuka Sana Ila tupo makini wake zetu wasijue na hata sasa huwenda mkeo anachepuka Ila yupo makini usijue, na maisha yanasonga Kwa kitu pekee kipya hapo NI kujua, samehe maisha yasonge familia ikae pamoja wewe tafuta pesa tafuta mchepuko mzuri wa hadhi yako maisha yaendelee 😂😂😂😂😂
 
Natafuta Ajira Robert Heriel Mtibeli ...
 
Sijaoa mkuu ila kwangu akichepuka nikajua napiga chini.
 
Hii ni ngumu sana ukiwaza anavyo ililia na ikitoka anaiingiza tena huku anakuambia baba masanja hapo hapo kandamizaaaa ...😋😋😋Harafu uje ujue kuna jamaa alilala kwenye kifua cha mkeo akanyonya mate akafyonza chuchu uzipendazo inawezekana akalamba mpaka tigo na kuitafuna mamaaae bora tuachane tu huo moyo sina japo nitaumia kwa mda.Wanawake ujue mpaka tuawaone ni kwamba mko moyoni mwetu tutunzie vibumunda vyetu jamani tunavipenda sana na katu haturusu mtu mwingine akiguse.Sasa mnaenda kutanuliwa huko mmeo akisikia anaumia sana.
 
Kwahiyo , utamuuliza staili alizocheza ugenini ama wewe utaendeleza staili zako za kizamani?
Labda huko nje jamaaa kapiga stili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…