Usimnyang'anye mwanamke mtoto

Mkuu nyuzi zako nazifwatilia sana hua zinakua na madini mengi sana!! Your the real Critical thinker br! Hongera sana mkuu.
 
Mkuu inabdi nikutafute mwisho wa mwezi nikupige hata na elfu 10.
 
mbeleni tutakuwa na kizazi cha ovyo,wanaume hawajitambui wanamwaga mbegu tu wanawake nao wanategesha mimba matokeo yake watoto wanalelewa upande mmoja,mtoto aliyelelewa kwenye mazingira hayo haoni umuhimu wa ndoa
 
Hayo ni madhara ya 50/50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…