Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 38,844
- 90,300
- Thread starter
-
- #21
...Ndio nataka Kumuuliza Mleta Uzi. Kwa hiyo waligombana na Mkewe na wakaachana, Yeye atataka Wanae wakuzwe na Mwana Mama Yao? Na Sio awakuze Mwenyewe??
Kumbuka Mama Yao ana Haki ya kuchagua Mwanaume yoyote awe Mume wake lakini Wafofo hawana Haki ya kuchagua Mwanaume yoyote awe Baba Yao!
KARIBU MSIKITI WA MTOROBaadaye Utapata Iftar
kaka shukuran ,kuna kitu kikubwa umenipa na kimenisumbua mno[emoji120]
Asante. Sisi wakina mama tunapenda sana kuishi na watoto wetu.
umenichekesha yule Dada ndo unampiga saundi hivo namwanao ndo katimiza siku 40 wamemtoa nje jana.....ulivokaa vile morogoro navokufahamu
Hata hivyo sheria inasema mtoto anakaa na mama mpaka miaka Saba ndipo uwe na uamuzi wa kumchukuwa. Ustawi wa jamii upo macho kuhusu hilo.
Zombie wa kwanza ni wewe kilaza....πππ
Nikiandikaga vile kuna watu nawachokoza hasa wapumbavu najua hawapendagi kuambiwa ukweli. Na Ukiwaambia wanataka uwalambelambe Kama vitoto vya Paka.
Hapo ndipo naamua kurusha makombora ili kuwaibua HAO mazombi
Halafu inabidi uandike vitu gani bwana juha tuvifahamu ss mazombie........Yes ni kweli, hasa mtoto wa kiume akilelewa na Mama kuna vitu kwenye dunia huvishindwa.
Ni muhimu wazazi wasitangulize maslahi Yao binafsi
Sawa
Ahsante
Wewe inaelekea huna hata mtoto wa kusingiziwa ndo maana unasema hivyo....Hilo nimeshaeleza, ukitaka mwanao mshawishi mwanamke akupe,
Mbona uliweza kumshawishi akakuvulie mpaka akazaa, usije niambie ulimbaka.
Uwezo uleule uliotumia kumzalisha basi utumie kuomba mtoto.
Akikataa, achana naye
Zombie wa kwanza ni wewe kilaza....