Firstlady1 na hizi je:
14. Licha ya kurudi Night kali,vilevile shingoni LoveBite huku vifungo vya shati vikiwa vimepishana.
15. Harufu ya pafyumu unayonukia mida hii,si ile uliyokuwa unanukia Alfajiri wakati unaondoka nyumbani.
16. Mbaya zaidi na Nguo ya ndani umeigeuza wakati Alfajiri ulipoondoka ulikuwa umeivaa Fresh.
17. Unajibaraguza,...ohoo....!!! Mke wangu unajua leo tulikuwa na ugeni mzito ofisini,wakati sijakuuliza.
18. Unaikimbilia AirFresh ili ukapulizie ndani ya gari kwa madai eti ulimpa lifti rafikio aliyekuwa ananuka soksi,kumbe ni muongo unataka nisiinuse harufu ya Pafyumu ya mwanamke uliekuwa nae garini.
19. Unafoka kwa hasira....hebu niongezee kitoweo...ala..!!!!,wakati Alfajiri uliacha Buku.
20. Mbaya na kali kuliko zote,licha ya vituko vyoote ulivyonifanyia mchana kutwa, eti kitandani TUNALALA MZUNGU WA 4.
....NAJUUUTA KUWA MKEO...!!!
Kwanza mahari hujamaliza kulipa.