Usimdharau aliye pembeni yako

nene kwene

New Member
Jun 7, 2015
1
3
USIMDHARAU ALIYE PEMEBENI YAKO

Siku moja Obama akiwa Rais yeye na mkewe walitembelea mgahawa mmoja uliopo Washington DC kwa ajili ya kupata chakula cha mchana.

Wakati wakiwa wanaingia ghafla mmiliki wa ule mgahawa akakimbia na kwenda kumkumbatia mke wa Rais Obama yaani Michelle, pasipo hata kuogopa kuwa alikuwa ni mke wa Rais.

Kwa mshangao Rais Obama akamuuliza yule Mmiliki wa Mgahawa “unafahamiana na Michelle? Mmiliki wa mgahawa ule akajibu ndio, Michelle alikuwa girlfriend (mpenzi) wangu wakati tupo High School.

Hakujibu chochote Obama wakakaa na kuanza kula chakula walichoagiza.

Michelle akiwa ameinama Obama akainuka na kumuuliza “Michelle kwa hiyo sasa hivi na wewe ungekuwa mhudumu wa huu Mgahawa?”

Michelle akasema “hapana, huyu unaemwona ni mmiliki wa huu mgahawa ndo angekuwa Rais wa Marekani hivi sasa kama ningeolewa nae”

Sio maneno yangu ni moja ya ushuhuda aliouelezea mke wa Obama Rais wa 44 kuliongoza Taifa la Marekani ‘Michelle Obama’ katika kitabu chake cha “Becoming Michelle Obama”

Kuna mambo matano niliyo jifunza kutokana na ujumbe huu:

1. Kuna kipindi fulani tunaona mafanikio tuliyonayo yametokana na nguvu zetu kumbe kuna watu ambao wametumia nguvu nyingi sana kutufikisha pale tulipo.

2. Mke/Mume uliyenae anaweza akawa daraja la mafanikio yako na anaweza kutumika pia kama mfagio unaotumika kukusafisha katika kundi la jamii inayokuona mpotovu, hata kama watu watazusha maneno ya uongo au wakupake matope lakini kama umebahatika kupata mwenzi anayekupenda atakusafisha na kila mtu atatamani yeye, angekuwa wewe.

3. Mke/mume anaweza kusimama kama daraja la mafanikio, aidha kwa kukupa moyo au kwa kukuvunja moyo.

Akikuambia hauwezi si lazima awe amemaanisha, wakati mwingine anakuvunja moyo ili aone kama utadhihirisha kuwa unaweza ili uthibitishe kuwa alikuwa kafikiri vibaya juu ya uwezo wako.

4. Michelle Obama katika uhalisia, ana ushawishi mkubwa sana, katika kitabu chake amesema kuwa alikuwa na ndoto ya kuja kuolewa na Rais, hii huenda ikatuthibitishia kuwa ridhaa aliyopata Obama kuliongoza Taifa kubwa la Marekani ilitokana na nguvu kubwa ya uhamasishaji aliyoifanya Michelle Obama.

5. Halafu nikagundua kitu kimoja kuwa kumbe mwanamke mmoja akisimama akajiamini, anaweza kuamsha hamasa kubwa na ushawishi wa jambo kubwa na likafanyika tena kwa hali ya juu.

Kama nadanganya ulizia historia ya kupinduliwa kwa Omar Al Bashir wa Sudan.

USIMDHARAU ALIYE PEMBENI YAKO.
Picha na Google
maxresdefault (3).jpg
 
Napata tabu sana kukubaliana na maneno ya Michelle Obama. Ukisoma vitabu vingi vya Obama utaona ni kwa namna gani kama angekua mtu wa kukata tamaa basi angeweza kuachana na siasa zamani sana hata kabla ya kuwa senetor maana Michelle huyohuyo alikua hamuungi mkono kwa 100% kwenye safari ya siasa ambayo Michelle aliiona kama kikwazo katika ustawi wa familia yao. Japo alikuja kukubali baadae kumuunga mkono kwa 100%

Labda mleta mada nikuulize, je huyo mtu wa kwenye mgahawa alikua na mpango wa kuwa mwana siasa na kufanya kazi ya siasa? Kama sivyo, basi maneno ya Michelle ni porojo tu za kujaza kitabu.
 
USIMDHARAU ALIYE PEMEBENI YAKO

Siku moja Obama akiwa Rais yeye na mkewe walitembelea mgahawa mmoja uliopo Washington DC kwa ajili ya kupata chakula cha mchana.

Wakati wakiwa wanaingia ghafla mmiliki wa ule mgahawa akakimbia na kwenda kumkumbatia mke wa Rais Obama yaani Michelle, pasipo hata kuogopa kuwa alikuwa ni mke wa Rais.

Kwa mshangao Rais Obama akamuuliza yule Mmiliki wa Mgahawa “unafahamiana na Michelle? Mmiliki wa mgahawa ule akajibu ndio, Michelle alikuwa girlfriend (mpenzi) wangu wakati tupo High School.

Hakujibu chochote Obama wakakaa na kuanza kula chakula walichoagiza.

Michelle akiwa ameinama Obama akainuka na kumuuliza “Michelle kwa hiyo sasa hivi na wewe ungekuwa mhudumu wa huu Mgahawa?”

Michelle akasema “hapana, huyu unaemwona ni mmiliki wa huu mgahawa ndo angekuwa Rais wa Marekani hivi sasa kama ningeolewa nae”

Sio maneno yangu ni moja ya ushuhuda aliouelezea mke wa Obama Rais wa 44 kuliongoza Taifa la Marekani ‘Michelle Obama’ katika kitabu chake cha “Becoming Michelle Obama”

Kuna mambo matano niliyo jifunza kutokana na ujumbe huu:

1. Kuna kipindi fulani tunaona mafanikio tuliyonayo yametokana na nguvu zetu kumbe kuna watu ambao wametumia nguvu nyingi sana kutufikisha pale tulipo.

2. Mke/Mume uliyenae anaweza akawa daraja la mafanikio yako na anaweza kutumika pia kama mfagio unaotumika kukusafisha katika kundi la jamii inayokuona mpotovu, hata kama watu watazusha maneno ya uongo au wakupake matope lakini kama umebahatika kupata mwenzi anayekupenda atakusafisha na kila mtu atatamani yeye, angekuwa wewe.

3. Mke/mume anaweza kusimama kama daraja la mafanikio, aidha kwa kukupa moyo au kwa kukuvunja moyo.

Akikuambia hauwezi si lazima awe amemaanisha, wakati mwingine anakuvunja moyo ili aone kama utadhihirisha kuwa unaweza ili uthibitishe kuwa alikuwa kafikiri vibaya juu ya uwezo wako.

4. Michelle Obama katika uhalisia, ana ushawishi mkubwa sana, katika kitabu chake amesema kuwa alikuwa na ndoto ya kuja kuolewa na Rais, hii huenda ikatuthibitishia kuwa ridhaa aliyopata Obama kuliongoza Taifa kubwa la Marekani ilitokana na nguvu kubwa ya uhamasishaji aliyoifanya Michelle Obama.

5. Halafu nikagundua kitu kimoja kuwa kumbe mwanamke mmoja akisimama akajiamini, anaweza kuamsha hamasa kubwa na ushawishi wa jambo kubwa na likafanyika tena kwa hali ya juu.

Kama nadanganya ulizia historia ya kupinduliwa kwa Omar Al Bashir wa Sudan.

USIMDHARAU ALIYE PEMBENI YAKO.
Picha na Google
View attachment 1954599
Namba 2 na tatu,ni nadharia za kimagharibi,hazina ukweli sana huku kwetu bongo,na kizazi hiki ndio kabisa,hakiaminiki,mwenzi wako anaweza hata akakuletea majambazi nyumbani
 
wee unaongelea wanawake wa marekani au wa kibongo?

Wanawake wa bongo wapo kimaslahi, hata ndoa wameshazigeuza kuwa miradi yao

Ni tegemezi, wanaowinda pesa za wanaume. Wameaminishwa mwanaume atoe peke yake tuu hata kama wao wanazo, zitoke za wanaume tuu.

Mtu kama huyu atakupa mchango gani au mawazo gani ya kujenga zaidi ya kukunyonya tuu?

Mleta mada umechanganya madesa, unaleta mada za kimarekani unazani bongo ni Marekani?
 
Back
Top Bottom