Usimchokoze Mrusi

Usimchokoze Mrusi

alizotumia hapo Russia ni long range cruiser missile,inacheze kwenye zaidi ya km 2000,
Tomahwk cruiser missile sidhani kama inazidi km 1000 range,na ndo maana marekani akitaka kushambulia lazima asogeze manowari ya mashambulizi karibu na target,mfano persian gulf au meditterania,
tofauti na mrusi ambaye ameshoot cruiser missile kutoka katika manowari ambayo bado iko mbali kabisa blacksea,marekani bado hawaja demonstrate long range cruiser missile sea based
 
Duniani


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiyo mara nyingi ni stori za vijiweni. Sote tunajua Urusi ni kati ya mataifa yalio imara kivita. Lakini, bado huwezi kukurupuka na kuipamba tu kwa hisia. Haya nayaona kwa mashabiki wengi wasiozingatia hoja makini kuchambua masuala ya kivita.

Sasa hapo umetuma hizo picha za hizo silaha na mbwembwe kibao, je, Marekani hana? Mfaransa hana? Mwingereza hana? Mchina hana? Kama kweli umedhamiria kuonesha umwamba wa nchi fulani, lete vigezo(makombora, ndege, manowari,nyambizi, bunduki, nyuklia n.k) utakavyotumia kulinganisha ili asiyefahamu aone okay, kwa namna hii huyu yupo vema hapa au yupo dhaifu pale.

Tujifunze kujenga hoja

Unaweza ukawa na hoja nzuri...nakubaliana na wewe kuhusu nguvu za Russia na USA...lakini usilinganishe nguvu za Uingereza na , Ufaranza dhidi ya Russia...kidogo kwa conventional war China inaweza pengine ikafurukuta dhidi ya Russia lakini siyo kwa nuclear weapons...Mataifa mawili makubwa duniani kivita na kijeshi ni Russia na USA pekee kwa sasa...pale ilipo Russia kijeshi Marekani atafikiria mara 100 kujiingiza..mfano ni Ukraine..ambapo Russia iliingia na Marekani akasita kuweka pua pale...NATO pia ilikaa kimya tu bali tukasikia kelele kwenye media ...Marekani na nchi nyingine za ulaya zikaamua kutumia silaha ya vikwazo vya kiuchumi na siyo mapambano ya kijeshi....Nato yenye nchi karibu 30 inaweza ikajikuta pabaya ikipambana na Russia peke yake...pia Marekani ikiiamua kuivamia Venezuela ambayo ipo karibu na Marekani siamini kama Russia inaweza kutia pua pale kuiokoa Venezuela kijeshi...Hivi ndivyo ilivyo....Hata Russia ilipoingia huko Syria Marekani na nchi nyingine za ulaya au NATO zimeshindwa kumuondoa Assad kama zilivyokuwa zimepanga awali....
 
mi huwa najiuliza urusi isingetawanyika ingekuwa na nguvu kiasi gani,maana ile ukraine tu kwa vinchi vya ulaya hawasogei ,ukitoa UK na ufaransa,vinchi kama azerbanjain,Tajikistani,Turkeministan,vinchi vingi ukivicombine vyote kama soviet ingekuwapo ingekuwa noma mno,Gorbachev sijui alikwama wapi huyu mzee
 
Unaweza ukawa na hoja nzuri...nakubaliana na wewe kuhusu nguvu za Russia na USA...lakini usilinganishe nguvu za Uingereza na , Ufaranza dhidi ya Russia...kidogo kwa conventional war China inaweza pengine ikafurukuta dhidi ya Russia lakini siyo kwa nuclear weapons...Mataifa mawili makubwa duniani kivita na kijeshi ni Russia na USA pekee kwa sasa...pale ilipo Russia kijeshi Marekani atafikiria mara 100 kujiingiza..mfano ni Ukraine..ambapo Russia iliingia na Marekani akasita kuweka pua pale...NATO pia ilikaa kimya tu bali tukasikia kelele kwenye media ...Marekani na nchi nyingine za ulaya zikaamua kutumia silaha ya vikwazo vya kiuchumi na siyo mapambano ya kijeshi....Nato yenye nchi karibu 30 inaweza ikajikuta pabaya ikipambana na Russia peke yake...pia Marekani ikiiamua kuivamia Venezuela ambayo ipo karibu na Marekani siamini kama Russia inaweza kutia pua pale kuiokoa Venezuela kijeshi...Hivi ndivyo ilivyo....Hata Russia ilipoingia huko Syria Marekani na nchi nyingine za ulaya au NATO zimeshindwa kumuondoa Assad kama zilivyokuwa zimepanga awali....


Ndiyo maanake, hoja yangu inabaki palepale kuwa huyu mchokoza mada anashangaza kuja kuisifu urusi as if anafahamu hao wengine wana nini.

Hata hivyo, mjadala kuhusu nani ni mbabe kivita unaweza kuwekwa hivi:

Hakuna yeyote anaejua taifa gani ni zaidi.Maana mambo ya vita ni siri.Sisi mashabiki tunatumia uzoefu, tunachoona, kusikia ama kusoma.So, hakuna mwenye taarifa 100% ya nani ni nani au nani ana nini.Marekani ,kwa mfano, huwa hana tabia ya kupiga kelele kwamba ana silaha gani.

Haya mataifa makubwa hayawezi kuingia vitani kirahisi kwani wanajua impact yake.Pia, kuna mikataba wamewekeana,huku wakikumbuka adhabu wanazoepeana.Ujerumani mpaka leo japo sina hakika analipa uharibifu wa vita ya pili ya dunia.Hivyo, lazima wachukue tahadhari kabla hawajakinukisha
 
alizotumia hapo Russia ni long range cruiser missile,inacheze kwenye zaidi ya km 2000,
Tomahwk cruiser missile sidhani kama inazidi km 1000 range,na ndo maana marekani akitaka kushambulia lazima asogeze manowari ya mashambulizi karibu na target,mfano persian gulf au meditterania,
tofauti na mrusi ambaye ameshoot cruiser missile kutoka katika manowari ambayo bado iko mbali kabisa blacksea,marekani bado hawaja demonstrate long range cruiser missile sea based
Wakati unaeleza umekula, usije ukawa unasogeza muda wa njaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo mara nyingi ni stori za vijiweni. Sote tunajua Urusi ni kati ya mataifa yalio imara kivita. Lakini, bado huwezi kukurupuka na kuipamba tu kwa hisia. Haya nayaona kwa mashabiki wengi wasiozingatia hoja makini kuchambua masuala ya kivita.

Sasa hapo umetuma hizo picha za hizo silaha na mbwembwe kibao, je, Marekani hana? Mfaransa hana? Mwingereza hana? Mchina hana? Kama kweli umedhamiria kuonesha umwamba wa nchi fulani, lete vigezo(makombora, ndege, manowari,nyambizi, bunduki, nyuklia n.k) utakavyotumia kulinganisha ili asiyefahamu aone okay, kwa namna hii huyu yupo vema hapa au yupo dhaifu pale.

Tujifunze kujenga hoja
Katoa tu sifa nyingi but hiyo Ni kweli kabsa waliyatupa hayo madude karibu km 900 but so marekani Wala uk walioyaona..dhidi ya Isis
Kisicho Cha ajabu Ni kwamba America wanayo uk, France, wanayo.
Iran pia walirusha yao karib km 200 took Iran to Syria dhidi ya isis


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sawa mkuu,ukiacha umbali lakini pia amerusha makombora mazito,umbali mrefu toka kwenye meli ndogo za kawaida sana. Na makombora hayo yameonyesha uwezo wa kukwepa vikwazo na kubadilisha umbali( altitude) hadi kufikia target. Marekani hajawahi Fanya hivyo.
alizotumia hapo Russia ni long range cruiser missile,inacheze kwenye zaidi ya km 2000,
Tomahwk cruiser missile sidhani kama inazidi km 1000 range,na ndo maana marekani akitaka kushambulia lazima asogeze manowari ya mashambulizi karibu na target,mfano persian gulf au meditterania,
tofauti na mrusi ambaye ameshoot cruiser missile kutoka katika manowari ambayo bado iko mbali kabisa blacksea,marekani bado hawaja demonstrate long range cruiser missile sea based

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwapinga warusi ni sawa unapingan na ukweli maana hawa jamaa sio watu wa kawaida kwenye uwanja wa vita.battle of staligrand ilikuwa kati ya
(Germany, itary, hungary, romania VS Ussr.lakini mwisho wa vita battalion za wagerumani, hungary, itary na wa romania zilikwisha pale pale na Ussr ikawa mshindi
 
Unaweza ukawa na hoja nzuri...nakubaliana na wewe kuhusu nguvu za Russia na USA...lakini usilinganishe nguvu za Uingereza na , Ufaranza dhidi ya Russia...kidogo kwa conventional war China inaweza pengine ikafurukuta dhidi ya Russia lakini siyo kwa nuclear weapons...Mataifa mawili makubwa duniani kivita na kijeshi ni Russia na USA pekee kwa sasa...pale ilipo Russia kijeshi Marekani atafikiria mara 100 kujiingiza..mfano ni Ukraine..ambapo Russia iliingia na Marekani akasita kuweka pua pale...NATO pia ilikaa kimya tu bali tukasikia kelele kwenye media ...Marekani na nchi nyingine za ulaya zikaamua kutumia silaha ya vikwazo vya kiuchumi na siyo mapambano ya kijeshi....Nato yenye nchi karibu 30 inaweza ikajikuta pabaya ikipambana na Russia peke yake...pia Marekani ikiiamua kuivamia Venezuela ambayo ipo karibu na Marekani siamini kama Russia inaweza kutia pua pale kuiokoa Venezuela kijeshi...Hivi ndivyo ilivyo....Hata Russia ilipoingia huko Syria Marekani na nchi nyingine za ulaya au NATO zimeshindwa kumuondoa Assad kama zilivyokuwa zimepanga awali....


Asante.Mimi bado ninaona maelezo yako ni ya kishabiki. Binafsi, nafahamu sifa zilizopo vijiweni kati ya Urusi na Marekani. Haya ndiyo mataifa pekee ambayo huoneshana nani zaidi. Lakini , nina hakika hakuna yeyote kati yetu ajuaye kwa asilimia mia moja nani ana uwezo gani. Hivyo, kusema UK hana ujanja kwa Mrusi ni ushabiki, hakuna ajuaye.Kwakifupi, hatujui lolote kuhusu nani ana uwezo gani. Nguvu za kivita ni pamoja na propaganda, suala ambalo US na Urusi wanafanya sana.
 
Back
Top Bottom