Usimchokoze Mrusi

Usimchokoze Mrusi

Hi
mi huwa najiuliza urusi isingetawanyika ingekuwa na nguvu kiasi gani,maana ile ukraine tu kwa vinchi vya ulaya hawasogei ,ukitoa UK na ufaransa,vinchi kama azerbanjain,Tajikistani,Turkeministan,vinchi vingi ukivicombine vyote kama soviet ingekuwapo ingekuwa noma mno,Gorbachev sijui alikwama wapi huyu mzee


Ndugu, vita ni mambo mengi.Kitendo cha US au NATO kuufyata pale Ukraine kusitafsiriwe kuwa hawana uwezo kwa Mrusi. Kutokuwa na uwezo kusitafsiriwe ni kukosa nguvu za kijeshi pekee, vita vina mambo na athari kubwa sana. Hivyo, inabidi kujua hasa hawa mabwana nini kinachofanya kugwaya.


Kumbuka, hata Tz , Us haiwezi kukurupuka tu na kuanza kuipiga. Kuna wakati wamatazama njia mbadala kuliko kuingia vitani. Ndiyo maana Libya(Ghadafi) na Iraq( Sadam) zilichukua miongo kadhaa kuzipiga. Tusiojua tungesema hawezi, wamefyata.Hii haimaanishi hawakuwa na nguvu za kufanya hivyo.Waweza kuwa na nguvu lakini ukachemka au ukalete athari kubwa sana usizotegemea.
 
Unaweza ukawa na hoja nzuri...nakubaliana na wewe kuhusu nguvu za Russia na USA...lakini usilinganishe nguvu za Uingereza na , Ufaranza dhidi ya Russia...kidogo kwa conventional war China inaweza pengine ikafurukuta dhidi ya Russia lakini siyo kwa nuclear weapons...Mataifa mawili makubwa duniani kivita na kijeshi ni Russia na USA pekee kwa sasa...pale ilipo Russia kijeshi Marekani atafikiria mara 100 kujiingiza..mfano ni Ukraine..ambapo Russia iliingia na Marekani akasita kuweka pua pale...NATO pia ilikaa kimya tu bali tukasikia kelele kwenye media ...Marekani na nchi nyingine za ulaya zikaamua kutumia silaha ya vikwazo vya kiuchumi na siyo mapambano ya kijeshi....Nato yenye nchi karibu 30 inaweza ikajikuta pabaya ikipambana na Russia peke yake...pia Marekani ikiiamua kuivamia Venezuela ambayo ipo karibu na Marekani siamini kama Russia inaweza kutia pua pale kuiokoa Venezuela kijeshi...Hivi ndivyo ilivyo....Hata Russia ilipoingia huko Syria Marekani na nchi nyingine za ulaya au NATO zimeshindwa kumuondoa Assad kama zilivyokuwa zimepanga awali....
Kweli..USA Alikimbizwa vibaya 2008 Georgian war cause Russia aliingia Georgia bila kujifikirisha Wala kuogopa US army advisers waliokwa Georgia.. US alikimbia akaacha Humvee 5 ambazo zote warusi walizichukua na hawakuwahi kurudisha.
 
Ndiyo maanake, hoja yangu inabaki palepale kuwa huyu mchokoza mada anashangaza kuja kuisifu urusi as if anafahamu hao wengine wana nini.

Hata hivyo, mjadala kuhusu nani ni mbabe kivita unaweza kuwekwa hivi:

Hakuna yeyote anaejua taifa gani ni zaidi.Maana mambo ya vita ni siri.Sisi mashabiki tunatumia uzoefu, tunachoona, kusikia ama kusoma.So, hakuna mwenye taarifa 100% ya nani ni nani au nani ana nini.Marekani ,kwa mfano, huwa hana tabia ya kupiga kelele kwamba ana silaha gani.

Haya mataifa makubwa hayawezi kuingia vitani kirahisi kwani wanajua impact yake.Pia, kuna mikataba wamewekeana,huku wakikumbuka adhabu wanazoepeana.Ujerumani mpaka leo japo sina hakika analipa uharibifu wa vita ya pili ya dunia.Hivyo, lazima wachukue tahadhari kabla hawajakinukisha
German Amemaliza mwaka 2016 kulipa hizo gharama Vita za ww2
 
Ndiyo maana nikasema hapo awali tupate vigezo vya kulinganisha. Mwisho wa kwisha vita inahitaji ushindi, sasa hata ngumi, ukishashindwa ndiyo uanze kulalama kuwa mpinzani wako alivaa viatu?

Aidha, ushirikiano ni mbinu pia katika vita, kiuchumi na kisiasa ili kumaliza shida zenu bila hasara kubwa na kirahisi, lakini haimaanishi hawa mabwana wanafanana kwa kila kitu. Bado kila mmoja humuangalia mwenzake kwa jicho la makengeza. Na hali ipo hivyo hadi kwenye utengenezaji wa silaha. Usitegemee Marekani atakubali afanye mambo yote ya uzalishaji silaha huku watu wa ulaya wakijua ama wawe sawa. Unakumbuka Ujerumani iliwahi kuishutumu USA kwa kudukua mawasiliano ya waziri mkuu wao, Angela Markel.
pro trump aka shithole utawajua tu. Hongera sana mtumwa wa marekani
 
Hhahahhahahahhahahah! Mi nikajua unajua unachosema, kumbe unapoteza muda. Sidhani hata kama unaelewa kilichoandikwa hapo na Kiingereza hicho cha kuzuga kama changu. Wala huelewi lolote aisee. Nimenyoosha mikono!

Hahahhahahhahahahhahhahahahhahahhahahahh
tuambie wewe basi. mambo ya msingi unachekacheka kama baamedi
 
pro trump aka shithole utawajua tu. Hongera sana mtumwa wa marekani


Hii haina upro Trump wala ushit hole mkuu, ni suala la uchambuzi wa kina.Hapa utimu hausaidii. Hata kama unalipenda taifa fulani haisaidii, utaishia kujidanganya. Hapa tunataka kujifunza kwa hoja. Hayo niliyozungumza nimemtaja USA kwakuwa ndiye aliyezungumzwa, lakini nchi zote zenye kuwekeza kivita zipo hivyo. Hata Mrusi, Tanzania, UK n.k, wote wapo hivyo. Kinachowatofautisha ni uwezo, huyu ana au hana hiki, mwenzie anavyo, au na mwenzie hana hiki yeye anavyo.

Watu wengi tunapotoshwa na stori za vijiweni au mazoea. Ukweli sisi tutachangia kadiri tunachojua lakini hatuwezi kujua ukweli nini kilichopo ndani ya taifa fulani. Ukijiona unajua kwa 100% habari kuhusu taifa fulani basi wewe ni bonge la mpelelezi ulipaswa ugombewe na mataifa ili wakuajiri. Maana hata CIA, KGB na MOSSAD kutwa kucha hawalali wanatafuta taarifa, mimi na wewe kupitia stori za vijiweni tunajidai tuna taarifa na kutoa judgement.
 
kweli hili jamaa kama shoga vile linacheka mbela ya midume ya jf nonsense huyu

Hujafuatilia mjadala wewe nyoko. Ungefuatilia ungejua sababu ya kucheka. Huku mwanzo uliona alichosema na ushahidi alioleta huyo jamaa. Alianza kwa mikwara kibao kumbe hakuna kitu. Sasa uoangali kama una kipele usikurupuke wengine hatukuni, tukwangua.

A little skunk!
 
tuambie wewe basi. mambo ya msingi unachekacheka kama baamedi

Ingwkuwa umefuatilia mjadala, usingekuja na kauli hii. Umefuatilia hoja za huyo anaechekwa? Ninajua ni hoja ya msingi, na nachangia kadiri ya uwezo wangu. Ukilete masihara nami nitafanya masihara pia.
 
Warusi wamemfundisha nyangumi wao mweupe anaitwa beluga kufanya ujasusi . Juzi ameleta kizaazaa huko norway
 
Hakuna Taifa lolote linaloweza kupambana na Tanzania likashinda kama huamini muulize Mrusi nani aliyemfurumusha Idd Amin wa Uganda utapata majibu.

Sisi jeshi letu la policcm lina bunduki ambayo ikipiga risasi angani zinakata kona na kumfuata adui hata kama yupo ndani ya Daladala. Hii hata Mrusi hana....
 
Hakuna Taifa lolote linaloweza kupambana na Tanzania likashinda kama huamini muulize Mrusi nani aliyemfurumusha Idd Amin wa Uganda utapata majibu.

Sisi jeshi letu la policcm lina bunduki ambayo ikipiga risasi angani zinakata kona na kumfuata adui hata kama yupo ndani ya Daladala. Hii hata Mrusi hana....
Teh, kweli we ni mnyonge wa hali ya chini
 
Back
Top Bottom