Bulichekah
Member
- Jan 12, 2014
- 68
- 186
Bila shaka wote ni wazima humu jamvini. Mimi ni moja kati ya watu wengi waliosoma Project/Program Management. Ukweli ni kwamba zaidi ya kile nilichotoka nacho chuoni na nilivyo jiupdate Online, sijawahi fanya kazi rasmi za usimamizi wa miradi kwa vitendo katika shirika au taasisi au kampuni yoyote.
Mimi nafanya kazi za ufundi makanika wa mavitu mengi mengi na uendeshaji wa heavy equipments kama magreda, cranes n.k. Hizi fani nilijikuta tu nimeijua tangu mdogo nikiwa shule ya msingi kupitia mzee na sikuendelea shule.
Kwa wale ambao mnasimamia au mnatekeleza miradi katika sekta rasmi kupitia serikali, taasisi, mashirika au makampuni, mnatekelezaje mambo katika sekta hizi nyeti?
1. Project Design
2. Project Set Up
3. Project Planning
4. Project Implementation
5. Project Monitoring, Evaluation
7. Project Resource Management
8. Management of supply chains
9. Risk Management
10. Stakeholders Management
Bila shaka mtatufundisha mengi katika uhalisi wake