Usilolijua kuhusu nchi ya Urusi

Usilolijua kuhusu nchi ya Urusi

Umesahau kuwa rais wake anapiga kung' fu hatari
 
download (2).jpg
 
Namba 8 sio kweli, pia namba moja sio kweli (at least the mentioned size)..., hiyo size uliyotaja ni ndogo kuliko hata Rwanda. Tanzania ina 947,303 sq km, iweje Urusi iwe na 17,000 sq km tu?
Hujasoma vizuri wewe mkuu. 17.000.O00 sq km. Hii ndio namba aliyoiandika mleta uzi.
 
Mkuu un
Umesahau ni Nchi ya kwanza Kuwa na mademu wakali dunia kuanzia blond na blunete meeen Nmemc pussy za Eastern Europe
Mkuu lazima nioe hukhuku kwa putin, pussy tamu baraa
 
Haya ni mambo ambayo wengi tumekuwa hatuyajui kuhusu nchi ya Urusi.

1.ni nchi kubwa kuliko zote duniani,ina 17,000,000 squal km yani imezidiw kidog tuna bara la africa
2.ni nchi ya 2 kwa kuw na mzunguko mkubw wa reli,ina km
87,000 za njia ya reli
3.ni nchi ya kwanz kuw na wasomi wengi,53% ya warusi wana degree kw iyo usishangae kumkuta kinyozi wa urusi ana degree
4.ni nchi ya 4 kuw na airport nying,kuna jumla ya airport 1,218
5. ni nchi ya 4 kw kuzalish umeme mwingi,wanazalisha 1,064,100(Gwt)
6.ni nchi ya 3 kw uzalishaji wa madini aina ya gold,inazalisha tani 247 kw mwaka
7.ni nchi ya 4, kw kuzalisha madini aina ya silver,inazalisha tani 1,700 kw mwaka
8.ni nchi ya 1 kw uzalishaji wa mafuta.ina zalisha 10,590,000
barrels kw siku
9.ni nchi ya 2 kw uzalishaji madini aina ya aluminium
10.ni nchi ya 1 kw kuzalisha madini aina ya diamond,inazalisha tani 8 kw mwaka
11.ni nchi ya 5 kw kuzalisha madini ya aina ya chuma(Iron)
12.ni nchi ya 4 kw kuzalish madini ya aina ya chuma(steel)
13.ni nchi ya 6 kw kuzalisha madini aina ya uranium
14.ni nchi ya 2 kw uzalishaji wa gesi
15.ni nchi ya 7 kw uzalishaji wa madini aina ya copper
16.ni nchi za 3 kw uzalishaji wa ngano
17.ni nchi ya 3 kw uzalishaji mbao
18.ni nchi ya 5 kw uvuvi
19.ni nchi ya 2 kw kuuza siraha.
haya ni maadhi ya mambo usiyoyajua kuhusu nchi ya urusi,ila yapo mengine meng tu
Kumbe huwa tunadanganyana tu kwamba Tanzania tuna kila kitu
 
Kumbe huwa tunadanganyana tu kwamba Tanzania tuna kila kitu
ni kweli mkuu uwa tunaongopean san,tena wengine utasikia wanasem kuw ulaya bila africa isingekuw vile eti mali walizotuibia ndo zimefany ulaya kuw vile
 
K
Mleta mada jaribu kuwa serious kidogo,how come una draw attention za wasomaji kwa mada ya kitu kisicho na uniqueness,sasa nchi kuwa ya 4 au ya 5,kuna kitu gani kipya hapo,kuna mambo yakusumbua watu hapa jukwaani kama matukio yaliyovunja rekodi au kitu kuwa cha kwanza au cha mwisho katika tukio au jambo flani
Kama hujaona uniqueness hapo basi una lako wewe si bure
 
Back
Top Bottom