Haya ni mambo ambayo wengi tumekuwa hatuyajui kuhusu nchi ya Urusi.
1.ni nchi kubwa kuliko zote duniani,ina 17,000,000 squal km yani imezidiw kidog tuna bara la africa
2.ni nchi ya 2 kwa kuw na mzunguko mkubw wa reli,ina km
87,000 za njia ya reli
3.ni nchi ya kwanz kuw na wasomi wengi,53% ya warusi wana degree kw iyo usishangae kumkuta kinyozi wa urusi ana degree
4.ni nchi ya 4 kuw na airport nying,kuna jumla ya airport 1,218
5. ni nchi ya 4 kw kuzalish umeme mwingi,wanazalisha 1,064,100(Gwt)
6.ni nchi ya 3 kw uzalishaji wa madini aina ya gold,inazalisha tani 247 kw mwaka
7.ni nchi ya 4, kw kuzalisha madini aina ya silver,inazalisha tani 1,700 kw mwaka
8.ni nchi ya 1 kw uzalishaji wa mafuta.ina zalisha 10,590,000
barrels kw siku
9.ni nchi ya 2 kw uzalishaji madini aina ya aluminium
10.ni nchi ya 1 kw kuzalisha madini aina ya diamond,inazalisha tani 8 kw mwaka
11.ni nchi ya 5 kw kuzalisha madini ya aina ya chuma(Iron)
12.ni nchi ya 4 kw kuzalish madini ya aina ya chuma(steel)
13.ni nchi ya 6 kw kuzalisha madini aina ya uranium
14.ni nchi ya 2 kw uzalishaji wa gesi
15.ni nchi ya 7 kw uzalishaji wa madini aina ya copper
16.ni nchi za 3 kw uzalishaji wa ngano
17.ni nchi ya 3 kw uzalishaji mbao
18.ni nchi ya 5 kw uvuvi
19.ni nchi ya 2 kw kuuza siraha.
haya ni maadhi ya mambo usiyoyajua kuhusu nchi ya urusi,ila yapo mengine meng tu