ungemuuliza anasoma kozi gani?Mimi nilimuona beki 3 naye kaandika UDSM
Sijasema kuko vibaya, ni vizuri mtu kusema ukweli kuliko kudanganya actually nilivutiwa na hilo jina ingeweza kuwa hata Tandale kwa mama zakaria.Yote nakuunga mkono lakini kimara bonyokwa pako vizuri kuliko uzaniavyo na watu wa bonyokwa wengi wana maisha ya kati.