mbona zipo nne(6666) na sio tatu(666) kama unavyotaka ww iwe.Khabari vipi
Katika chambua chambua zangu za hapa na pale mara nikagundua waliopewa jukumu la kujenga chuo cha kimataifa cha dodoma wachina walijenga yale majengo wa muundo wa kipekee ambao ukiwa chini huwezi kuona mybe utumie camera kutoka juu high oblique utagundua majengo ya block yamejengwa kwamuundo wa nammba 666 sijaelewa ni lengo lilikuwa hivyo au ilitokea tu kwa kivipi ni hayo tu waweza fugua google earth na kusearch kisha ukajionea mwenyewe
Asanteni
View attachment 684125
Aaah nidhani umeona expansion joint
Mkuu umetumia application ip kulocate hzo place.Yaani kuona hostel za social...ndio ukaamulia kuja kufungulia uzi hapa!!!
Sio mbaya sawa!!
Je ungeziona na hostels za CIVE UDOM??
Nadhani ungestick kabisa
Mkuu umetumia application ip kulocate hzo place.
Andika hapa inavopatikana praystore.Map inaitwa
My CollegeYaani kuona hostel za social...ndio ukaamulia kuja kufungulia uzi hapa!!!
Sio mbaya sawa!!
Je ungeziona na hostels za CIVE UDOM??
Nadhani ungestick kabisa
Hiyo ni built in app, naipata App Store na sio play store. Lkn ata ulio nayo inaweza vizuri tuAndika hapa inavopatikana praystore.