usilete u-mwanaasha wako....

Mnh hii sasa ni kumvua nguo mwana.... anyway tatizo ni u mwanaasha wake,ops vidole avina breki!
 
hahaaaa kuna mtoto wa jirani yangu hapa alikiwa analala saa 9 usikui daily halafu at the end amepata MWANAHASHA ya 32...
 
Acheni kumdis dogo, dogo kipaji! we unadhani kuingiza division four whitehouse ni kazi rahisi?Kule zinakosimamiwa sera za ukuzaji elimu wa elimu, afu yeye kakinukisha!Dogo noma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom