Usilale na vitu hivi...

Mleta mada, makatazo yote uliyotoa yana msingi wa kisayansi isipokuwa hilo la kutolala na mke/mume wa mtu ni gumzo la kaunta ya baa kwenye stool ndefu! Hilo tuachie tunajua namna ya kulishughulikia.
 
Mleta mada, makatazo yote uliyotoa yana msingi wa kisayansi isipokuwa hilo la kutolala na mke/mume wa mtu ni gumzo la kaunta ya baa kwenye stool ndefu! Hilo tuachie tunajua namna ya kulishughulikia.

Hahahahahah kwa hiyo hilo ni gumu?
 
hahaha dah sawa mkuu....tzingatieni wana jf
 
Hiyo no 5 ukiitamkia za zanzibar watakuua watadhani wewe ni popobawa
 
Kha! Ngoja nimfowadie mtu Fulani hivi maana Hii inamhusu sana
 
Hilo la 5 la msingi sana. Lazma kidude kiachwe wazi kipumue.
 
Hahhaha mkuu, mi namba sita ...hapo nimekukubali. Kweli ukifanya jambo hilo ni sooo.
 
No 6 haina shida hiyo unakua na maziwa fresh na glock ya 36caliber atajuta kwanini alioa huyo mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…