Usikurupuke Kuvaa Nguo au Kulala bila kuwa Muangalifu:Ukijua Huyu ni nani, Utanielewa zaidi...

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
5292070_telemmglpict000128222619xxlargetransnvbqzqnjv4bq0kn1q143ce0r5yafplt4ihrasrhrxmyniahhystehog_jpeg_jpegd16ca9f9ec7146be5e03d4bdf532d4ab


5292083_telemmglpict000128222615transtm3zxxv42fqenilgobxjofzt7szsqq7h3okyatfgi0w_jpeg_jpegfaa75e158c31b8806f9815ece635659f

5292068_telemmglpict000128222618transtm3zxxv42fqenilgobxjofzt7szsqq7h3okyatfgi0w_jpeg_jpeg3000e7a5219c329692b9f044a26e3923



Black Mamba(Koboko) akutwa amejificha kwenye nguo kabatini
 
mamangu alishawahi kungatwa na nge alitungua koti kabatini kalivaa kilichomkuta hatasahau ila hii isiwe kwa nguo tu mi wakati naishi kimara nilishawahi kuta nyoka ndani japo nahisi ni wa kishirikina sababu tang jana yake nilikuwa na vision yake kweye kichwa changu kuwa kesho yake nitakuta nyoka anataka kupanda kitanda ni na hamad nilipofungua mlangu tu nikamuona mubashara kwahiyo nivyema sana kukagua kitu chochote kabla ya kukitumia just imagine juzi kati nilitundika pochi kwenye hanger ikiwa wazi kisha nikaja kuisunga pila kuikahua kumbe bhana kuna panya naishi naye akajipenyeza kwenye nikaja kuifunga bila kuikagua ,,,, asubuhi sukukagua nikaweka mkoba mbavuni mpaka job bahati nzzuri au mbaya nauli ilikuwa kwenye kamfuko ka nje,kufika ofisini nafungua bonge la panya likachomka kutoka mkobani mwangu ikawa kizaazaa loh ila nashkuru kumuhamisha maana aliniharibia mali zangu zana pale ndani japo alinidhalilisha kuja kutoa mbele za kadamnasi
 
Je kati huyo nyoka wa kwenye boks na huyu nani angeleta majanga zaid.

Ikizingatiwa kuwa uswahilini Mara nyingi huwa tunaona taa za chooni anasa , sasa kichwa kichwa waingia kumbe ndani ya choo kuna huyu bwana Mkubwa.

Sijui angeanza kukudokoa wapi (KE ME) kila mmoja aseme jibu lake
upload_2017-5-11_14-5-35.jpeg
 
Huyo nyoka atakuwa ni wale wa BUJORA makumbusho mkoani Mwanza maana huwa hawana noma Yaani black mamba kabisa ninayemjua mimi huo muda wa kupiga picha akiwa ametulia tu ameutoa wapi? Kingine Black mamba hana tabia ya kuishi karibu na makazi ya binadam yeye anaishi porini huko sasa huyu amekuja kuishi uraiani tena ndani
 
Back
Top Bottom