Usikubali mwanangu, haina mabega

NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,667
362
Baba na mama wanatoa shule kwa mtoto wao pekee wa kike namna ya kuwakataa watoto wa kiume

Wazazi: Si unajua tena wewe ni binti yetu pekee na tunakupenda sana, angalia wanaume watakuharibu, wakikuomba kataaa, tena kataa kabisa wala usikubali

Binti: Sawa baba na mama nimewakubali kabisa na sitakubali kijana yeyote akinitaka

Kumbe kuna kijna wa jirani anamtamani huyo binti na tayari alishasikia wazazi wake wakimuwekea ka uzibe

Kijana: Naomba nikubalie tu hata kidogo, naomba tafadhali (huku akipiga magoti na machozi yakimtoka)
Binti: Siko tayari, sitaki kabisa, nasema tena sitaki Baba na Mama wameniambia nisiwakubalie
Kijana: Twende basi ndani kwangu nisindikize nikakupe zawadi
Binti: Sawa lakini sikupi ng'o kwani Baba na Mama wameniambia nisimpe mtu yoyote na nikatae

Binti akakubali kumbe baba alikuwa anawasikiliza kwa nyuma na kuwafuatilia huku bichwa likwa juu binti yake akikataa huku akiwataja. Akiwa dirishani kwa kijana alifuatilia kama ifuatavyo

Kijana: Sasa umeshaingia ndani kwangu, nipe tu kidogo nionje, kichwa tu mpenzi kinatosha
Binti: Sitaki, baba amekataaa na mama pia, nasema sitaki
Kijana: Naomba tu kidogo, yaani kichwa unakataa, naomba plz, wala siyo yote, kichwa tu

Baada ya kuimbishwa sana binti akalainika na kukubali na akaanza kutaka kuchojoa nguo ghafla baba kuona binti kazidiwa akapiga kelele dirishani akisema "Usikubali binti yangu, haina mabega hiyo ikiingia ni moja kwa moja"
 
Duuu huyo mzee hana maana, kumbe alikuwa anasikiliza? Sasa si angemkanya mwanae tangu mwanzo?
 
Duuu huyo mzee hana maana, kumbe alikuwa anasikiliza? Sasa si angemkanya mwanae tangu mwanzo?

Mzee alikuwa anaona sifa jinsi binti alivyo na msimamo na aliamini hadi ndani ataendeleza msimamo akaona dah, hapa sasa sipo ngoja niingilie kati
 
Mkuu heshima kwako, nimecheka kwa nguvu chumbani hadi watu wamesh2ka......mjini shule!
 
Kweli haina mabega wala breki, ina komeo bin lock tu, tena mwishooo! Kudadadadadeeek...!
 
Hiiiiii kitu hiiiiiiiiiii kitu.................Hiii kitu hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.................
 
Back
Top Bottom