kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,244
Kisa kimetokea kwetu huku pande za uswazi. Mzee kitemba amtunza binti yake mwanaheri ili aolewe akiwa bikira. Yaani mzee mnoko kinoma.Sasa juzi kati mzee kama kawaida jioni akaenda masjidi. Kijana moja mtata wa kitaa akazama kwa mzee kitemba kumpa sound za kufa mtu mwanaheri. Mtoto akawa anamwambia kijana, hapana, mimi sitaki, naogopa. Kijana ohh usiogope, nafany kidogo tu usiogope, naingiza kichwa, kichwa tu. Lahaula kumbe mzee kitemba karudi kutoka masjid akasikia akiwa kwa njee ya fance maongezi yakiendelea.
Mzee kitemba akapiga kelele akiwa njee. USIIKUBAALI MWANANGU, AINA MABEGA HIYOO.
Ha ha ha ha ha!
Mzee kitemba akapiga kelele akiwa njee. USIIKUBAALI MWANANGU, AINA MABEGA HIYOO.
Ha ha ha ha ha!