Eliah Geofrey Kamwela
Senior Member
- Dec 30, 2018
- 185
- 511
- Thread starter
- #21
Karibu mkuu wanguShukrani kwa ujumbe mkuu.
Karibu mkuu wanguShukrani kwa ujumbe mkuu.
Alpha blonde daah ngoja niskilize muda huuSo, so you think you can tell
Heaven from hell
Blue skies from pain
Can you tell a green field
From a cold steel rail?
A smile from a veil?
Najuaga ya alpha blondy hiisafi sana kumbe sipo mwenyewe mpenzi wa Progressive rock
original wameiimba pink Floyd, alpha aliifanyia cover nzuri ya reggae one of the best.Najuaga ya alpha blondy hii
"Mungu amewekeza vikubwa mno..".....
Kakuambia lini?
Leo.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sisimizi kutoweza kusikia sauti ya binadamu haina maana binadamu haongei, Bali uwezo na upeo wake ni Mdogo. Mungu anaongea na ukijenga uhusiano nae unasikia sauti yake. Hata hivyo, maneno yake waweza kuyasoma katika kitabu chake kitakatifu, yaani Biblia.Unaweza weka ushahidi hapa usiokua na kipingamizi chochote?
Sisimizi kutoweza kusikia sauti ya binadamu haina maana binadamu haongei, Bali uwezo na upeo wake ni Mdogo
Bali uwezo na upeo wake ni Mdogo
Mungu anaongea na ukijenga uhusiano nae unasikia sauti yake
Hata hivyo, maneno yake waweza kuyasoma katika kitabu chake kitakatifu, yaani Biblia.
Barikiwa
Maswali yako ni Rahisi, kwa kuwa mada hii haikuhusu hayo hasa, nitaku tag nitakapo anzisha mada kuyajibuNani kakwambia sisimizi hasikii sauti ya mwanadamu au sauti nyinginezo?
Au sentensi imekutoka tu?
Uwezo wake na upeo wake ni mdogo ukitumia reference ya kitu au activity gani ya kipimio?
Ni kama umchukue nyani na samaki uwapime akili zako kwa uwezo wao wa kuogelea.
Samaki atapata 100% na nyani atapata 0%,na kwa uzembe wako utasema samaki ana akili sana!
Aliongea na wewe lini?
Unaweza weka ushahidi wako hapa usiokua na kipingamizi (yaani beyond reasonable doubt)?
Usituletee stori za niliota usiku naongea nae maana tutakuchapa vibao you are insulting our intelligence!
Kumbe huyo mungu ni muandishi wa vitabu?
Angetakiwa awe movie director atoe movie au documentary fasihi simulizi kabisa,au hiyo technolojia bado hana?
Hahaa ... eeehh nakupenda JFKuna ubaya gani kufia hapo? kufa si ni kufa? Afapo mnyama ndivyo afapo binadamu. Kuna tofauti gani kufia hapo au pengine
Maswali yako ni Rahisi, kwa kuwa mada hii haikuhusu hayo hasa, nitaku tag nitakapo anzisha mada kuyajibu
Hahaa "Mkuu, humu JF huwezi kumpata mtu na hizo gospel zenu fake. Watu humu wanajitambua na hata wakija kwenye hicho kikanisa chako chini ya mwembe watakudongoshea sadaka ya shilingi 100/-. ACHENI NJAA, MSIMTUMIE MUNGU KAMA MTAJI. MTACHOMWA MOTO MKALI SANA HUKO MOTONI
Haina kweere mkubwaHahahahaa
Sawa ulietumwa na "mungu"!
Hujajituma,mungu alikutuma,alikupa barua maalumu ya uteuzi..
Hahahahahahaa
Nyie watu mnaojifanya ni maajenti wa Mungu mnanichekeshaga sana!
Haina noma mzee!