Usikubali Kufia hapo

Usikubali Kufia hapo

Eliah Geofrey Kamwela

Senior Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
185
Reaction score
511
USIKUBALI KUFIA HAPO!!!
Kwamba upo unasoma Ujumbe huu sasa ni ushahidi kuwa bado upo hai, na kama bado upo hai , basi u miongoni mwa wenye Bahati sana , kwa kuwa uhai una thamani kuliko chochote!!
Chukua kioo, halafu angalia unacho ona ndani yake! Huyo mtu unaye mwona, Mungu amewekeza vikubwa mno ndani yake. Anaweza kuwa hajui au hahisi hivyo kwa kuwa anayo pitia ni magumu kiafya, Kiuchumi, katika ndoa na familia nk. Lakini, hata kama dhahabu haijijui kama ni dhahabu, hii haiondoi ukweli kuwa hiyo ni dhahabu, ingawa isipo jitambua itaishia kuchezwa bao!

Usifie hapo ndugu! Yale ambayo Mungu ameweka moyoni mwako kuyafanya ni halisi, hakikisha yanatokea! Kuna ugumu hutokea unao shawishi watu wafanye mambo marahisi na waache Yale sahihi walio paswa kuyafanya!!
Tafadhali usiwe mmoja wao.
Inuka,
Jikung'ute ,
Songa mbele, ushindi ulipo .
Mungu akubariki.
#Divine_Solutions_Carrier
 
So, so you think you can tell
Heaven from hell
Blue skies from pain
Can you tell a green field
From a cold steel rail?
A smile from a veil?
 
USIKUBALI KUFIA HAPO!!!
Kwamba upo unasoma Ujumbe huu sasa ni ushahidi kuwa bado upo hai, na kama bado upo hai , basi u miongoni mwa wenye Bahati sana , kwa kuwa uhai una thamani kuliko chochote!!
Chukua kioo, halafu angalia unacho ona ndani yake! Huyo mtu unaye mwona, Mungu amewekeza vikubwa mno ndani yake. Anaweza kuwa hajui au hahisi hivyo kwa kuwa anayo pitia ni magumu kiafya, Kiuchumi, katika ndoa na familia nk. Lakini, hata kama dhahabu haijijui kama ni dhahabu, hii haiondoi ukweli kuwa hiyo ni dhahabu, ingawa isipo jitambua itaishia kuchezwa bao!

Usifie hapo ndugu! Yale ambayo Mungu ameweka moyoni mwako kuyafanya ni halisi, hakikisha yanatokea! Kuna ugumu hutokea unao shawishi watu wafanye mambo marahisi na waache Yale sahihi walio paswa kuyafanya!!
Tafadhali usiwe mmoja wao.
Inuka,
Jikung'ute ,
Songa mbele, ushindi ulipo .
Mungu akubariki.
#Divine_Solutions_Carrier

"Mungu amewekeza vikubwa mno..".....

Kakuambia lini?
 
Kuna ubaya gani kufia hapo? kufa si ni kufa? Afapo mnyama ndivyo afapo binadamu. Kuna tofauti gani kufia hapo au pengine
 
Mkuu, humu JF huwezi kumpata mtu na hizo gospel zenu fake. Watu humu wanajitambua na hata wakija kwenye hicho kikanisa chako chini ya mwembe watakudongoshea sadaka ya shilingi 100/-. ACHENI NJAA, MSIMTUMIE MUNGU KAMA MTAJI. MTACHOMWA MOTO MKALI SANA HUKO MOTONI
 
This might be a mental case for real!! Nimeweka gospel ipi kwenye post yangu?
Nina 'kikanisa' wapi na mie ni Mchungaji wa wapi (mind you I am using my real names and verified ones).
Wapi nimeomba 'visadaka' vyako?
Una matatizo ya akili wewe sio bure!!
Nimeandika hii post kwa ajili ya wanao hitaji kutiwa moyo, kama haikuhusu unapita hivi tu!
Chuki hizo na wachungaji usipeleke kwa kila mtu.
 
Mkuu ujue watu ni wapumbafu sana washable creat ideology mbaya kwa vichwa vyao ugumu wa maisha umesababisha ndoto zao nyingi zisitimie sasa kila maneno ya kutia moyo washajua ni tangazo la sadaka
 
Magu alegeze tu maana hamna namna... Nimeshangaa sana jamaa kuporomosha matusi ikabidi niangalie labda tunajuana nje ya Jf na ana hasira zake binafsi kha
 
USIKUBALI KUFIA HAPO!!!
Kwamba upo unasoma Ujumbe huu sasa ni ushahidi kuwa bado upo hai, na kama bado upo hai , basi u miongoni mwa wenye Bahati sana , kwa kuwa uhai una thamani kuliko chochote!!
Chukua kioo, halafu angalia unacho ona ndani yake! Huyo mtu unaye mwona, Mungu amewekeza vikubwa mno ndani yake. Anaweza kuwa hajui au hahisi hivyo kwa kuwa anayo pitia ni magumu kiafya, Kiuchumi, katika ndoa na familia nk. Lakini, hata kama dhahabu haijijui kama ni dhahabu, hii haiondoi ukweli kuwa hiyo ni dhahabu, ingawa isipo jitambua itaishia kuchezwa bao!

Usifie hapo ndugu! Yale ambayo Mungu ameweka moyoni mwako kuyafanya ni halisi, hakikisha yanatokea! Kuna ugumu hutokea unao shawishi watu wafanye mambo marahisi na waache Yale sahihi walio paswa kuyafanya!!
Tafadhali usiwe mmoja wao.
Inuka,
Jikung'ute ,
Songa mbele, ushindi ulipo .
Mungu akubariki.
#Divine_Solutions_Carrier
Shukrani kwa ujumbe mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom