Usikubali akunyonye

Usikubali akunyonye

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,096
Reaction score
828,932
Wanawake wana silaha moja kubwa sana 'meno' na wanajua kuitumia vilivyo, meno yana sumu mbaya na jeraha la meno huacha alama au kovu la kudumu kwenye mahusiano daima kutoelewana hakukosekani na wanaume walio wengi huwapiga wanawake, kwa kukosa nguvu za kupambana mwanamke hukubali kipigo lakini akibaki na kisasi rohoni siku usiyotaraji kunako malavidavi atataka tongue kiss au alambe koni, ole wako ukubali, asipoondoka na kipande cha ulimi ataondoka na kichwa cha koni wengi wamejeruhiwa na kupata ulemavu wa maisha kwa njia hiyo
 
sasa mwanaume ananipga mie cwezi kumrudishia na mimi namng'ata tu ili akome
 
kweli ni hatari. ama utakuta umegombana na mke wako hadi hamuongei lakini ye ndo yupo kicheni anakupikia. akiweka ya panya? ama ndio ana pita na mavisuvisu anakata nyama asee. daah we acha tu.
 
Umenifundisha nitamng'ata ole wake anipige tu .... mimi nitadili na koni tu
 
kweli ni hatari. ama utakuta umegombana na mke wako hadi hamuongei lakini ye ndo yupo kicheni anakupikia. akiweka ya panya? ama ndio ana pita na mavisuvisu anakata nyama asee. daah we acha tu.

Ndo mtuheshimu sema tunakahuruma kidogo mke wako anaweza kukuua ujue na hata isijulikane
 
kichwa cha habari ndo huwa kinabeba mada husika KWA HIYO TUSINYONYE NA WEWE PIA HUNYONYWAGI???au hutaki wenzio wafaidi??? nishakustukia
 
kichwa cha habari ndo huwa kinabeba mada husika KWA HIYO TUSINYONYE NA WEWE PIA HUNYONYWAGI???au hutaki wenzio wafaidi??? nishakustukia

hahahahaaaa refa wangu mzima weye?
 
Akiondoka na mpini kabadilisha maisha yote!hatari kubwa
 
Ndo mtuheshimu sema tunakahuruma kidogo mke wako anaweza kukuua ujue na hata isijulikane

pole mkuu naona ulikata ghafla sana aisee..... Lakn naona hata ww ulijitahid kung'angania tawi ili usisombwe na mafuriko ya malaria
 
Back
Top Bottom