mi wana jamvi kuna swali najiuliza maana huwa naona wapenzi wengi wanapenda kuongea kwa simu na wapenzi wao usiku. sasa swali usiku ndo muda wa bure, malavidavi ndo yananoga au usiku una nini kwa wapenzi kuongea kwa simu?
Swali lako ni rahic sana kama ikikutokea ukampigia mpnz wako simu usiku akawa hapokei au haipatikani kwa wiki moja tu,yani kila ikifika saa moja usiku ukimpigia hapokei au haipatikani,alafu ukimuuliza anakuuliza na ww kuwa kwan kuna umuhimu gani kwa wapenzi kuongea kwa simu usiku c tulishaongea mchana! kwa namna utakavyokuwa unajickia kila asipopokea au hapatikani usiku ndipo jibu lilipo.mi wana jamvi kuna swali najiuliza maana huwa naona wapenzi wengi wanapenda kuongea kwa simu na wapenzi wao usiku. sasa swali usiku ndo muda wa bure, malavidavi ndo yananoga au usiku una nini kwa wapenzi kuongea kwa simu?
kwa hiyo unataka kusema kuwa usiku maongezi ndo yananoga auSwali lako ni rahic sana kama ikikutokea ukampigia mpnz wako simu usiku akawa hapokei au haipatikani kwa wiki moja tu,yani kila ikifika saa moja usiku ukimpigia hapokei au haipatikani,alafu ukimuuliza anakuuliza na ww kuwa kwan kuna umuhimu gani kwa wapenzi kuongea kwa simu usiku c tulishaongea mchana! kwa namna utakavyokuwa unajickia kila asipopokea au hapatikani usiku ndipo jibu lilipo.
ukishakuwa nayenitaelewa kuwa usiku ndo malavidavi au
Nikirudisha mawazo nyuma wakati huo,nilikua hivyo coz nakua nimetulia!