Kifo kinakunyemelea.Usiku wakuamkia leo mpenzi wangu ameniambia kuwa ameota kuwa 'NIMEOA' nayeye pia alikuwa harusini yaani nayeye pia alihudhuria harusi yangu.
Je nini yaweza kuwa tafsiri yahii ndoto wakubwa zangu nawadogo zangu!!
Yaani kuwa wewe haupo moyoni kwake hamuendani kabisa malaika wake ndo anamuonyeshaUsiku wakuamkia leo mpenzi wangu ameniambia kuwa ameota kuwa 'NIMEOA' nayeye pia alikuwa harusini yaani nayeye pia alihudhuria harusi yangu.
Je nini yaweza kuwa tafsiri yahii ndoto wakubwa zangu nawadogo zangu!!
Amekuona umeoa spiritual wife ambaye badae atapigana na mpenzi wako ili badae amuachie yeye spiritual wife abaki anakumiliki wewe.Usiku wakuamkia leo mpenzi wangu ameniambia kuwa ameota kuwa 'NIMEOA' nayeye pia alikuwa harusini yaani nayeye pia alihudhuria harusi yangu.
Je nini yaweza kuwa tafsiri yahii ndoto wakubwa zangu nawadogo zangu!!
Duh aiseee sijui nilugha yakitaalamu hii mkuu samahan kama unaweza nifafanulie ili nipate mwanga kidogoAmekuona umeoa spiritual wife ambaye badae atapigana na mpenzi wako ili badae amuachie yeye spiritual wife abaki anakumiliki wewe.
NdiyoUnasema kweli???
Urudi tena kulala...huenda ukaota kinyume chake.Kwahiyo hapo nifanyaje sasa
Duuh! Niliwah kuambiwa hivyo! Aliyesema alishuhudia kutokea kwa tukio hiloKifo kinakunyemelea.
Cha utamu upo serious?Kifo kinakunyemelea.
AiseeeUrudi tena kulala...huenda ukaota kinyume chake.