Usiku wakuamkia leo mpenzi wangu ameniambia kuwa ameota kuwa 'NIMEOA'

flulanga

JF-Expert Member
Jul 1, 2016
4,860
6,339
Usiku wakuamkia leo mpenzi wangu ameniambia kuwa ameota kuwa 'NIMEOA' nayeye pia alikuwa harusini yaani nayeye pia alihudhuria harusi yangu.

Je nini yaweza kuwa tafsiri yahii ndoto wakubwa zangu nawadogo zangu!!
 
Yaani kuwa wewe haupo moyoni kwake hamuendani kabisa malaika wake ndo anamuonyesha
 
Usiku wakuamkia leo mpenzi wangu ameniambia kuwa ameota kuwa 'NIMEOA' nayeye pia alikuwa harusini yaani nayeye pia alihudhuria harusi yangu.

Je nini yaweza kuwa tafsiri yahii ndoto wakubwa zangu nawadogo zangu!!
Amekuona umeoa spiritual wife ambaye badae atapigana na mpenzi wako ili badae amuachie yeye spiritual wife abaki anakumiliki wewe.
 
Duh aiseee sijui nilugha yakitaalamu hii mkuu samahan kama unaweza nifafanulie ili nipate mwanga kidogo
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom