Usiku wa mauzauza ya CHADEMA

Usiku wa mauzauza ya CHADEMA

Pole sana. Sasa kama wewe ni mwoga namna hiyo, mwaka ujao chagua nchi nyingine uhamie, maana ya mwakani yatatisha zaidi. Mwaka ujao ni mwaka wa kulikomboa Taifa. Ije mvua lije jua ccm ni lazima itoke madarakani, kwa heri ama kwa shari
Mbona maandamano ya Mange ulijificha ndani
 
Chadema ni taasisi, je ulilawitiwa na taasisi? Huo mkund*** wako kwa sasa ukoje? Marinda yashaanza kurudi? Maana 2015 ni kitambo sana
Sikumbuki tarehe ila nakumbuka ilikuwa ni karibu kabisa na uchaguzi mkuu 2015, nikiwa nimelala chumba cha upande wa mbele wa nyumba yetu huko kijijini katika jimbo alilokuwa anawania Dkt Mollel kwa tiketi ya CHADEMA.Ghafla kama kimondo nilisikia jiwe kubwa limepiga kioo likatoa sauti kubwa sana ya mpasuko wa kioo.

Niliogopa na kufikiri ni ndoto lakini kabla sijang'amua kama ile ilikuwa ni ndoto au ni kweli, nilisikia watu wanatembea kwa vishindo na hali ya kuogofya huku wakiulizana maneno ambayo sikuyaelewa - ni kama fujo fulani. Watu wengine wakaamka ila kwa tahadhari sana.

Nikaenda sebuleni kuungana nao ndipo nilipowasikia wakitafuta sehemu ya kupanda ili washushe bendera ya CCM iliyoko juu ya bati letu. Ndipo wote tulijua hawa ni CHADEMA hofu ilitanda

Tuliogopa na kukimbilia jikoni huko ambako ni upande wa nyuma wa nyumba.
Hofu ilitujaa ukizingatia siku mbili zilizopita mwanachama mmoja kindaki ndaki wa CCM alilawitiwa na kutupwa maeneo ya makaburini na CHADEMA walijigamba baada ya tukio lile kwamba watakomesha na wengine.

Walifanikiwa kupanda juu wakashusha bendera kama baada ya dakika 10 pakawa kimya.

Ndipo baba akapigiwa simu na mlinzi wa maeneo ya maduka ambako na sisi tunaduka pale kwamba jamaa wamepanda juu ya bati la duka wanatoa bendera na pia wanachana picha za wagombea wa CCM zilizobandikwa kwenye kuta za duka letu.

Nikiri baba alikua mpenzi kindakindaki wa CCM na alitupa mifano mingi kwa nini tunapaswa kuienzi CCM.
Sikuwahi muelewa ila usiku ule nilimuelewa. Sikulala usiku kucha nikiwaza kama kweli hawa jamaa wakiingia ikulu itakuwaje?

Joto la uchaguzi lilipanda sana na kampeni za CHADEMA zilihusisha kuvamiavamia maeneo ya biashara za wanachama wa CCM na vitisho vingi matusi ya waziwazi niliyashuhudia.

CHADEMA walifanya uvunjifu mkubwa wa haki za kibinadamu na pia amani kipindi cha uchaguzi wa 2015 na kama kuna mwanahabari anayetaka kutengeneza habari nitampa evidence zote

Maana hata huyo jamaa aliyelawitiwa na CHADEMA aliwaona na anawajua sema alienda mafichoni na eneo alipo ninalifahamu.

CHADEMA wanaimba haki,utawala bora na usawa lakini vitendo walivyofanya wakati wa uchaguzi viliumiza watu wengi sana.

Naamini uchaguzi wa mwakani na huu wa Serikali za Mitaa mtaufanya kwa amani maana kwa staili ile hamkutakiwa kupata hata kitongoji kimoja.
 
Chunguza na utuambie uzuri wa CCM na heshima yao kwa jamii.
 
Nanukuu "CHADEMA walifanya uvunjifu mkubwa wa haki za kibinadamu na pia amani kipindi cha uchaguzi wa 2015 na kama kuna mwanahabari anayetaka kutengeneza habari nitampa evidence zote"
Peleka polisi
 
Pole sana Dada yangu, usikatishwe tamaa na matusi ya hawa chadema ,

Uchaguzi mdogo na wa mwakani watapigwa kipigo ambacho vizazi na vizazi watasimuliwa ,majimbo yote yanarudi ccm
Hakika.
Na ni kwa kura tu.ni kupiga kura tu.ila wao wataleta fujo na kusema wameibiwa kura
 
Chadema ni taasisi, je ulilawitiwa na taasisi? Huo mkund*** wako kwa sasa ukoje? Marinda yashaanza kurudi? Maana 2015 ni kitambo sana
Imagne wewe ndo kijana wa chadema japo mwenye elimu ya kuingia jamii forum unaongea hivyo
Je vijana wa chadema mitaani?
Ni kama kikundi cha waasi.
Matusi na vitendo vya ukatili.tutakutana kwenye box la kura
 
Pole ndugu ila kapime ngoma
Nina ushahidi lukuki mkuu hata mtu akiwa anauwezo wa kutengeneza article nitampa watu wote wa kuwahoji hata watoto wadogo waliyashuhudia kabisa.
Ni kwa vile hakuna aliyeripoti.
Jamaa aliyelawitiwa alienda kujificha andeni akawaacha watoto wa dogo sana.
Mmoja ninaishi nae
Kwa hiyo nina ushahidi woote
 
Sikumbuki tarehe ila nakumbuka ilikuwa ni karibu kabisa na uchaguzi mkuu 2015, nikiwa nimelala chumba cha upande wa mbele wa nyumba yetu huko kijijini katika jimbo alilokuwa anawania Dkt Mollel kwa tiketi ya CHADEMA.Ghafla kama kimondo nilisikia jiwe kubwa limepiga kioo likatoa sauti kubwa sana ya mpasuko wa kioo.

Niliogopa na kufikiri ni ndoto lakini kabla sijang'amua kama ile ilikuwa ni ndoto au ni kweli, nilisikia watu wanatembea kwa vishindo na hali ya kuogofya huku wakiulizana maneno ambayo sikuyaelewa - ni kama fujo fulani. Watu wengine wakaamka ila kwa tahadhari sana.

Nikaenda sebuleni kuungana nao ndipo nilipowasikia wakitafuta sehemu ya kupanda ili washushe bendera ya CCM iliyoko juu ya bati letu. Ndipo wote tulijua hawa ni CHADEMA hofu ilitanda

Tuliogopa na kukimbilia jikoni huko ambako ni upande wa nyuma wa nyumba.
Hofu ilitujaa ukizingatia siku mbili zilizopita mwanachama mmoja kindaki ndaki wa CCM alilawitiwa na kutupwa maeneo ya makaburini na CHADEMA walijigamba baada ya tukio lile kwamba watakomesha na wengine.

Walifanikiwa kupanda juu wakashusha bendera kama baada ya dakika 10 pakawa kimya.

Ndipo baba akapigiwa simu na mlinzi wa maeneo ya maduka ambako na sisi tunaduka pale kwamba jamaa wamepanda juu ya bati la duka wanatoa bendera na pia wanachana picha za wagombea wa CCM zilizobandikwa kwenye kuta za duka letu.

Nikiri baba alikua mpenzi kindakindaki wa CCM na alitupa mifano mingi kwa nini tunapaswa kuienzi CCM.
Sikuwahi muelewa ila usiku ule nilimuelewa. Sikulala usiku kucha nikiwaza kama kweli hawa jamaa wakiingia ikulu itakuwaje?

Joto la uchaguzi lilipanda sana na kampeni za CHADEMA zilihusisha kuvamiavamia maeneo ya biashara za wanachama wa CCM na vitisho vingi matusi ya waziwazi niliyashuhudia.

CHADEMA walifanya uvunjifu mkubwa wa haki za kibinadamu na pia amani kipindi cha uchaguzi wa 2015 na kama kuna mwanahabari anayetaka kutengeneza habari nitampa evidence zote

Maana hata huyo jamaa aliyelawitiwa na CHADEMA aliwaona na anawajua sema alienda mafichoni na eneo alipo ninalifahamu.

CHADEMA wanaimba haki,utawala bora na usawa lakini vitendo walivyofanya wakati wa uchaguzi viliumiza watu wengi sana.

Naamini uchaguzi wa mwakani na huu wa Serikali za Mitaa mtaufanya kwa amani maana kwa staili ile hamkutakiwa kupata hata kitongoji kimoja.

Pumbav sana huyo baba yako pamoja naweye uliemuelewa.

Hivi wewe huoni CCM wanavyoua watu?
 
Kwanini msitumie box la kura?
Kuna haja gani ya kutangaza vita?
Je mnawasiwasi hamuwezi kushinda?
Ni kina nani huwa wanahubiri demokrasia?
Acheni watu wachague kwa uhuru na amani.
Nawaambia kura haziibiwi wala nini lakini kwa kule kwetu hampati hata kitongoji kwa maovu yenu

Box la kura lipi? hili mnaloiba kura kila siku?
 
Wiki iliyopita nilikua Makete Njombe na kwenye Guest niliyofikia kulikua na viongozi wa CCM, nikisema niandike hapa maovu waliyokua wanaongea hakuna MTU ataamini. Kuna siku nitafungua Uzi kwa ajili ya maongezi Yale ambayo yalihusu pia kumnunua Kaka yake Mchungaji Msigwa.....nataka viongozi wa Ccm Makete wabishe niwaanike hapa.
Sikumbuki tarehe ila nakumbuka ilikuwa ni karibu kabisa na uchaguzi mkuu 2015, nikiwa nimelala chumba cha upande wa mbele wa nyumba yetu huko kijijini katika jimbo alilokuwa anawania Dkt Mollel kwa tiketi ya CHADEMA.Ghafla kama kimondo nilisikia jiwe kubwa limepiga kioo likatoa sauti kubwa sana ya mpasuko wa kioo.

Niliogopa na kufikiri ni ndoto lakini kabla sijang'amua kama ile ilikuwa ni ndoto au ni kweli, nilisikia watu wanatembea kwa vishindo na hali ya kuogofya huku wakiulizana maneno ambayo sikuyaelewa - ni kama fujo fulani. Watu wengine wakaamka ila kwa tahadhari sana.

Nikaenda sebuleni kuungana nao ndipo nilipowasikia wakitafuta sehemu ya kupanda ili washushe bendera ya CCM iliyoko juu ya bati letu. Ndipo wote tulijua hawa ni CHADEMA hofu ilitanda

Tuliogopa na kukimbilia jikoni huko ambako ni upande wa nyuma wa nyumba.
Hofu ilitujaa ukizingatia siku mbili zilizopita mwanachama mmoja kindaki ndaki wa CCM alilawitiwa na kutupwa maeneo ya makaburini na CHADEMA walijigamba baada ya tukio lile kwamba watakomesha na wengine.

Walifanikiwa kupanda juu wakashusha bendera kama baada ya dakika 10 pakawa kimya.

Ndipo baba akapigiwa simu na mlinzi wa maeneo ya maduka ambako na sisi tunaduka pale kwamba jamaa wamepanda juu ya bati la duka wanatoa bendera na pia wanachana picha za wagombea wa CCM zilizobandikwa kwenye kuta za duka letu.

Nikiri baba alikua mpenzi kindakindaki wa CCM na alitupa mifano mingi kwa nini tunapaswa kuienzi CCM.
Sikuwahi muelewa ila usiku ule nilimuelewa. Sikulala usiku kucha nikiwaza kama kweli hawa jamaa wakiingia ikulu itakuwaje?

Joto la uchaguzi lilipanda sana na kampeni za CHADEMA zilihusisha kuvamiavamia maeneo ya biashara za wanachama wa CCM na vitisho vingi matusi ya waziwazi niliyashuhudia.

CHADEMA walifanya uvunjifu mkubwa wa haki za kibinadamu na pia amani kipindi cha uchaguzi wa 2015 na kama kuna mwanahabari anayetaka kutengeneza habari nitampa evidence zote

Maana hata huyo jamaa aliyelawitiwa na CHADEMA aliwaona na anawajua sema alienda mafichoni na eneo alipo ninalifahamu.

CHADEMA wanaimba haki,utawala bora na usawa lakini vitendo walivyofanya wakati wa uchaguzi viliumiza watu wengi sana.

Naamini uchaguzi wa mwakani na huu wa Serikali za Mitaa mtaufanya kwa amani maana kwa staili ile hamkutakiwa kupata hata kitongoji kimoja.
 
Alilawitiwa mbaba.sio mimi.
Msidhubutu tena kipindi hichi.wakiwekwa ndani msije hapa kulalaamika kwamba watu wa chadema wanafungwa.wakati mmekuwa wavunjifu wakubwa wa amani
2015 to 2019, kazi kwelikweli. Nchi hii ni yetu sote wasiotumia akili zao kutafakari wanafikiri ni nchi ya chama fulani.
 
Ni kweli chadema hadi nyumba wanachoma
Na kusababishwa wengine kuuwawa ila wakipelekwa gerezani wanalaumu na kulilia kila kona.
Ila wenyewe wana uwezo wa kuchoma nyumba ya mtu
Ninaruhusiwa kuitaja ID yako ya zamani? Naona ushaota pembe na tumekulea sisi.
 
Back
Top Bottom