MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,085
- 35,397
Ikulu mtaisika JFHii itakuwa ndoto ya kutisha. Isipokuwa ukijisikia kuingia chooni kunya acha, utakunya kitandani.
Na upuuzi wenu
Ikulu mtaisika JFHii itakuwa ndoto ya kutisha. Isipokuwa ukijisikia kuingia chooni kunya acha, utakunya kitandani.
Sijapiga kampeni ya aina yoyote.Mleta Mada ni mzushi na inaonekana anatoa comment zisizo na mashiko. Naona kama anafanya kampaini vile while kila mtu anajua kinachoendelea kwenye nchi hii. Maovu wafanyiwe wapinzani na tuhuma ziende kwa wapinzani- Shame on you ndugu.....Tuambie Mawazo (RIP) ambaye hayupo tena na aliyelawitiwa ( Unknown) ni tukio gani la kuogopesha... Acha urongo....wewe ni Politician tena wa Wanaobaka Democrasia ya nchi hii... Subiria Kampain zianze.. bado ni mapema mno.
Hustahili kukimbiza kichaa akichukua nguo zako.unachutama.Propaganda uchwara
Tuliwapeleka jkt ili mkabiliane na madogo kama hayo matokeo yake unajificha jikoni kweli ulikua na haki ya kulawitiwa
Sikumbuki tarehe ila nakumbuka ilikua ni tarehe za karibu kabisa na uchaguzi mkuu 2015.
Nikiwa nimelala chumba cha upande wa mbele wa Nyumba yetu kijijini huko jimbo alilokua anawania Dr mollel kwa tiketi ya chadema.
Ghafla kama kimondo nilisikia jiwe kubwa limepiga kioo likatoa sauti kibwa sana ya mpasuko wa kioo.
Niliogopa na kufikiri ni ndoto lakini kabla sijang'amua kwamba ile ni ndoto au ni kweli nilisikia watu wanatembea kwa vishindo na hali ya kuogofya huku wakiulizana maneno ambayo sikuaelewa ni kama fujo flani.
Watu wengine wakaamka ila kwa taadhari sana .
Nikaenda sebleni kuungana nao ndipo nilipowasikia wakitafuta sehemu ya kupanda ili washushe bendera ya CCM iliyoko juu ya bati letu.ndipo wote tulijua hawa ni chadema.hofu ilitanda
Tuliogopa na kukimbilia jikoni huko ambako ni upande wa nyuma wa nyumba.
Hofu ilitujaa ukizingatia siku mbili zilizopita mwanachama mmoja kindaki ndaki wa CCM alilawitiwa na kutupwa maeneo ya makaburini na chadema walijigamba baaada ya tukio lile kwamba watakomesha na wengine.
Walifanikiwa kupanda juu wakashusha bendera kama baada ya dakika 10 pakawa kimya.
Ndipo baba akapigiwa sim na mlinzi wa maeneo ya maduka ambako na sisi tunaduka pale kwamba jamaa wamepanda juu ya bati la duka wanatoa bendera na pia wanachana picha za wagombea wa CCM zilizobandikwa kwenye kuta za duka letu.
Nikiri baba alikua mpenzi kindakindaki wa CCM na alitupa mifano mingi kwa nini tunapaswa kuienzi CCM.
Sikuwahi muelewa ila usiku ule nilimuelewa.
Sikulala usiku kucha nikiwaza kama kweli hawa jamaa wakiingia ikulu itakuwaje?
Joto la uchaguzi lilipanda sana
Na kampeni za chadema zilihusisha kuvamia vamia maeneo ya biashara za wanachama wa CCM na vitisho vingi matusi ya waziwazi niliyashuhudia.
Chadema walifanya uvunjifu mkubwa wa haki za kibinadamu na pia amani kipindi cha uchaguzi wa 2015 na kama kuna mwanahabari anayetaka kutengeneza habari nitampa evidence zote
Maana hata huyo jamaa aliyelawitiwa na chadema aliwaona na anawajua sema alienda mafichoni na eneo alilipo ninalifahamu.
Chadema wanaimba haki,utawala bora na usawa lakini vitendo walivyofanya wakati wa uchaguzi viliumiza watu wengi sana.
Naamini uchaguzi wa mwakani na huu wa serikali za mitaa mtaufanya kwa amani maana kwa staili ile hamkutakiwa kupata hata kitongoji kimoja .
Ni kweli chadema hadi nyumba wanachomaPumbavu hiyo mbona trela ilitakiwa muwe treated kama adui wa taifa.Wangechom moto nyumba wala nisingeshangaa .
Afu unaonekana mwoga sana.Ivi ni mwanaume kweli wewe au ni binti uko pindi la mwezi?
nakupm mkuuMkuu pole kwa mkasa huo,nimeumia unamvyolea mtoto baba yake akiwa amekimbia,Wote wanaokupinga ni hao hao Chadema,ili wakukatishe tamaa.Naomba Unipm nikupe muongozo wa wapi tuanzie kutoa uovu wa hao watu kama kweli una ushahidi na uliwaon na evidence unazo.Na yule baba tutamtafuta hawawezi kufanya ujinga huu wakachwa bila adhabu!
Sikumbuki tarehe ila nakumbuka ilikua ni tarehe za karibu kabisa na uchaguzi mkuu 2015.
Nikiwa nimelala chumba cha upande wa mbele wa Nyumba yetu kijijini huko jimbo alilokua anawania Dr Mollel kwa tiketi ya chadema.
Ghafla kama kimondo nilisikia jiwe kubwa limepiga kioo likatoa sauti kubwa sana ya mpasuko wa kioo.
Niliogopa na kufikiri ni ndoto lakini kabla sijang'amua kwamba ile ni ndoto au ni kweli nilisikia watu wanatembea kwa vishindo na hali ya kuogofya huku wakiulizana maneno ambayo sikuaelewa ni kama fujo fulani.
Watu wengine wakaamka ila kwa tahadhari sana .
Nikaenda sebuleni kuungana nao ndipo nilipowasikia wakitafuta sehemu ya kupanda ili washushe bendera ya CCM iliyoko juu ya bati letu. Ndipo wote tulijua hawa ni CHADEMA hofu ilitanda
Tuliogopa na kukimbilia jikoni huko ambako ni upande wa nyuma wa nyumba.
Hofu ilitujaa ukizingatia siku mbili zilizopita mwanachama mmoja kindaki ndaki wa CCM alilawitiwa na kutupwa maeneo ya makaburini na CHADEMA walijigamba baada ya tukio lile kwamba watakomesha na wengine.
Walifanikiwa kupanda juu wakashusha bendera kama baada ya dakika 10 pakawa kimya.
Ndipo baba akapigiwa simu na mlinzi wa maeneo ya maduka ambako na sisi tunaduka pale kwamba jamaa wamepanda juu ya bati la duka wanatoa bendera na pia wanachana picha za wagombea wa CCM zilizobandikwa kwenye kuta za duka letu.
Nikiri baba alikua mpenzi kindakindaki wa CCM na alitupa mifano mingi kwa nini tunapaswa kuienzi CCM.
Sikuwahi muelewa ila usiku ule nilimuelewa.
Sikulala usiku kucha nikiwaza kama kweli hawa jamaa wakiingia ikulu itakuwaje?
Joto la uchaguzi lilipanda sana
Na kampeni za CHADEMA zilihusisha kuvamia vamia maeneo ya biashara za wanachama wa CCM na vitisho vingi matusi ya waziwazi niliyashuhudia.
CHADEMA walifanya uvunjifu mkubwa wa haki za kibinadamu na pia amani kipindi cha uchaguzi wa 2015 na kama kuna mwanahabari anayetaka kutengeneza habari nitampa evidence zote
Maana hata huyo jamaa aliyelawitiwa na CHADEMA aliwaona na anawajua sema alienda mafichoni na eneo alipo ninalifahamu.
CHADEMA wanaimba haki,utawala bora na usawa lakini vitendo walivyofanya wakati wa uchaguzi viliumiza watu wengi sana.
Naamini uchaguzi wa mwakani na huu wa serikali za mitaa mtaufanya kwa amani maana kwa staili ile hamkutakiwa kupata hata kitongoji kimoja .
Wallahi hatuwaachi kwa hili.nakupm mkuu
Wewe ni mnafiki mkubwa na utakuja kufa kifo kibaya sana, Mauaji ya kishenzi waliyofanya CCM kwa wapinzani na hawakamatwi kwako sawa tu, huyo mmoja tu unaona dili sana.Nina ushahidi lukuki mkuu hata mtu akiwa anauwezo wa kutengeneza article nitampa watu wote wa kuwahoji hata watoto wadogo waliyashuhudia kabisa.
Ni kwa vile hakuna aliyeripoti.
Jamaa aliyelawitiwa alienda kujificha andeni akawaacha watoto wa dogo sana.
Mmoja ninaishi nae
Kwa hiyo nina ushahidi woote
Kama Tanzania mliinya Kama mavi chooni Ikulu tutaisikia tu, ila Kama Tanzania iliumbwa na Mungu basi ikulu ni yetu.CHADEMA kama kweli hizi tuhuma Ikulu mtaiskia kwenye Radio
Wewe ndio unaufunguo wa geti?Ikulu mtaisika JF
Na upuuzi wenu
Sioni sababu ya wewe kuhalalisha hayo maovu yenu kwa kulinganisha na mengine.Wewe ni mnafiki mkubwa na utakuja kufa kifo kibaya sana, Mauaji ya kishenzi waliyofanya CCM kwa wapinzani na hawakamatwi kwako sawa tu, huyo mmoja tu unaona dili sana.
Kwanza umesema uongo mkubwa,
Mollel yupo simanjiro????Molelli yupo Simanjiro bila shaka, lakini Huu ni utunzi hamna uhalisia
Kwenye uvamizi wa genge la wahuni lolote linaweza kutokeaHuo ndiyo uwezo wa vijana wetu. Hajui hata kuchukua anapoona tukio kama hilo. Leo ungeweza kuwa marehem kwa uzembe.