Nami nazitaka roho zao. Na inshallah, mheshimiwa rais daktari profesa SSH ataridhia na kuniwezesha.Umenishtua nikajua wanaitoa kweli!
Ninkitabungani kilikuongoza kuwa baba yako ni baba yako?Kitabu gani kinakuongoza kutamka hayo? Au uko usingizini unaota?
We Leo XNinkitabungani kilikuongoza kuwa baba yako ni baba yako?
🙄🙄🙄🙄🙄🙄Marko 10:19
Unazijua amri: Usizini, Usiue, Usiibe, Usitoe ushahidi wa uongo, Usidanganye, Waheshimu baba yako na mama yako.