Jua litakapotua na
Giza litakapoingia...mwelekeo wa Tanzania utaamuliwa leo. Natumaini
wapo watu ambao watasimama pamoja kupinga. Watu wema wa tanzania wapo
wapi? Utafika wakati wale wenye kuamin katika udugu na umoja watoke na
kusimama pamoja. Wasikubali kuiachia nchi ivurugwe hivi kwa uzembe wa
wawatawala. Sijui usiku hu utapitaje..I dread the thought
Kuongoza nchi sio mchezo wa
mdundiko, viongozi wa sasa wamekuta vinaelea wakadhani ni rahisi. Mtoto
akililia wembe mpe si mnaona wengine walianza kampeni tangu zamani. JK
anavuna alichopanda.
nakusikia sana mkuu wangu na hakika ndilo waislaam wamekuwa wakipigania kwa miaka mingi.... Kuunda JUMUIYA YAO wenyewe na isimamiwe na viongozi wao wenyewe. Pengine naweza kusema tatizo ni Uislaam wenyewe maana Uislaam sio Society ya watu sio Jumuiya isipokuwa wale wanaoamini Mungu mmoja. Uislaam ni dii isiyokuwa na watu inaweza kusimama yenyewe, Ni dini ya Mwenyezi Mungu sisi tunaingia na kufuata tuloagizwa ili tuitwe waislaam. Hivyo ni swala la kiimani zaidi kiasi kwamba hata Sheikh Simba sii mkubwa wala hana Ukubwa mbele ya Mwenyezi Mungu, yeye na mimi tunasimama sawa isipokuwa yeye kaelemika zaidi yangu. Miye Na hiyo Elimu yake sio itakayo muokoa isipokuwa vitendo vyake..
Ukija katika dini nyingine unakuta kuna Uongozi wake na labdaktk Uislaam ni Shia na Ismailia hawa wana viongozi wao wa kidini na Kiutawala pia. Thanks God hatuna Mashia wengi Tanzania kwa sababu hawa sii tu kwamba wako Oragernised lakini pia wanafuata sheria za kitabu (Sharia law) ingekuwa kazi mpya kwetu.
Nyerere aliunda Bakwata kwa misingi ya kujaribu kuweka chombo cha Waislam (weusi) hasa baada ya kuvunja kile cha kina AghaKhan maana hatukuwa na mfumo wa Jumuiya isipokuwa madhehebu ili tupate kusaidiwa na serikali pale inapohitajika.. Waswahili wakaufanya Mtaji, ikawa hata viongozi wanachaguliwa kupitia CCM na siasa za chama na hata ilipofikia wakati wa Mwinyi na mabadiliko ya Kiuchumi, Bakwata ikawa chombo cha serikali kibiashara maana elewa hawa ni binadamu wenye tamaa kama mimi tofauti na wenzetu nyie mnawaamini viongozi wenu hata wakifanya baya mtakuwa nyuma yao.. Leo hii ukinambia Sheikh mkuu Simba anahusika na Mbagala nitakwambia tia ndani maisha lakini kwa Askofu itakuwa swala jingine kabisa maana mnaamini viongozi wenu ni walokole hawana tamaa za kibinadamu..
Nirudi kwenye mada hii nawaomba wanabodi wenzangu msidanganyike na mkenge mnaotaka kufungwa. Waislaam hawana uwezo wa kuwaondoa viongozi hawa madarakani maana hiki chombo hakipo ktk utaratibu wa dini ni muundo wa serikali ambayo imekitumia kwa miaka yote ktk siasa zake. Hili ni changa la macho mnapigwa. walofanya machafuko ya Mbagala hawajafikishwa mahakamani na ujio wa hili swala la Ponda ni kuzima fikra zenu maana yawezekana kabisa ile kesi ikapotea na msijue hatma yake. Ya Ponda yasitumike kisiasa wala kutugawa tunataka kujua ya Mbagala..
Jua litakapotua na Giza litakapoingia...mwelekeo wa Tanzania utaamuliwa leo. Natumaini wapo watu ambao watasimama pamoja kupinga. Watu wema wa tanzania wapo wapi? Utafika wakati wale wenye kuamin katika udugu na umoja watoke na kusimama pamoja. Wasikubali kuiachia nchi ivurugwe hivi kwa uzembe wa wawatawala. Sijui usiku hu utapitaje..I dread the thought
dhaifu is inversely proportion to peace while police remain constant
let dhaifu = d , police =p and peace = pe then si unit of police is ccmgovernmentjustice si unit of peace is justice
d=k/pe
d = p/pe
hili lihesabu mbona linakuwa gumu kukokotoa hebu nisaidien kupat dhaifu itakuwa na unit ip kwani nimesoma shule ya kata
Nchi ipo katika ombwe la uongozi,.. kiongozi mkuu bado ni kijana mtalii,mwenye kuhusudu starehe na anasa za kidunia.
Paka aliefungwa kengele sasa ataamsha na kuwakumbusha watanganyika nini walichonyimwa chini ya kivuli fake hichi cha amani, huku jamii flani ikionewa,.. kama mkristo nakiri tumevumilia mengi, tumeonewa vya kutosha,tumelazimishwa wakati mwingine kukubali hata yale yanayoonekana si haki
Ikumbukwe Raisi Mkapa alipowaruhusu waislamu watumie majengo ya Umma pale morogoro kufanya chuo chao, haikumaanisha mkristo asiruhusiwe ama akiruhusiwa pale atendewe kama mkimbizi
Jua litakapotua na Giza litakapoingia...mwelekeo wa Tanzania utaamuliwa leo. Natumaini wapo watu ambao watasimama pamoja kupinga. Watu wema wa tanzania wapo wapi? Utafika wakati wale wenye kuamin katika udugu na umoja watoke na kusimama pamoja. Wasikubali kuiachia nchi ivurugwe hivi kwa uzembe wa wawatawala. Sijui usiku hu utapitaje..I dread the thought
Kuna mdau ameweka link ya mahojiano ya kiongozi wa UAMSHO "aliyetekwa"
tayari KIONGOZI WA UAMSHO AMEPATIKANA NA AMETOA TAMKO!
Sina muda mchafu wa kusikiliza Sauti ya Israel anayependa kuwanyima Watz Amani na Raha Katika Taifa Lao kwa masilahi Yake. Bora nisikilize hata Sauti ya Chura anayekoroma kuliko hiyo ya huyo ibilisi