Usiku wa lady jayde:nitakuwepo kumpa support

wajojo

Senior Member
Apr 29, 2013
155
83
Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa burudani ya muziki wa LADY JAYDEE imewadia yaani itakuwa shangwe,vifijo na mayowe kusherekea na kumpongeza mwanadada huyu kwa kutimiza miaka 13 ndani ya game la bongo fleva,kwa kweli sio mchezo safari ilikuwa ndefu,wapambanaji walikuwa wengi,wengine waliishia njiani,lakini KOMANDO hakukata tamaa,ni miaka kumi na tatu ya mafanikio,pia atazindua album yake ya NOTHING BUT THE TRUTH,watanzania tujitokeze kwa wingi kumpa support dada yetu,mtanzania mwenzetu kwa juhudi na mafanikio aliyofikia hadi sasa,mimi binafsi nitakuwepo,nitaenda kutoa JOTO NA HASIRA,pia nataka nimjue YAHAYA,cant wait piga keleleeeeeeeeeeeeeeeeeee,HILI JOTO HASIRAAAAAAAAA????,LETS GOOO PEOPLE.....
 
tupo pamoja mkuu...nimetia timu jijini kutoka A city kumpa support kamanda...holaaa team anaconda....
 
ruge kamleta mganga yupo hapa kinondoni shamba huyo mganga ni nomaa balaaa katoka sumbawanga anaitwa moto wa radi kazi ni moja tu kushusha bonge la mvua mpaka pale nyumbani lounge pageuke kama mto yaani bora usiende si hawa jaweka hata turubai pale
 
........kufeni na JOTO LENU STRESS....... ... hahahaaa we have more important bz to attennd..


,........... kamsaisieni JIDE asife na njaaaaaaaaa.....

........mshaurini asianze kula ,,,,,,, UNGA.
 
mkuu wajojo Nyumbani kwa jd ipo maeneo gani.?

bahati nzuri siku ya Leo imenikutia hapa mjini, hivyo sitaki niikose.
!!!
 
Last edited by a moderator:
haaaa jamaaa wa gorofani wanahara mbaya..hv anaconda angepiga promo kama lao ingekua vp leo.!! haha haaa Jide noma...ru gay hana hamu mamaeee
 
5638_435063669924622_1814714406_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom